Mghothi wadala
Member
- Jul 21, 2018
- 90
- 64
Duuh, mie mwezi AUGUST 2020 ndio nimetoka kutapeliwa na Rafiki yangu wa karibu kabisaaaa na akaniblock
Mikopa ina ua URAFIKIDuuh, mie mwezi AUGUST 2020 ndio nimetoka kutapeliwa na Rafiki yangu wa karibu kabisaaaa na akaniblock
Ole wako kinipate chochoteNdio nasubiri mzee huenda itacome around.
Ole wako kinipate chochote
I will act accordingly
Hizi kauli hizi mnh, ukija kumkumbushia ugomvi wake unakua kama vita ya 4 ya dunia..niazime tuu..ntakurejeshea mshahara ukitoka mwisho wa mwezii.
..niazime tuu..ntakurejeshea ....kikoba kikivunjwaa
..niazime tuu..ntakurejeshea . kuna hela nategemea kupata wiki ijayoo
UlimuwezaSijawahi kutapeliwa ila nimejifunza kwa wezangu waliotapeliwa, sasa kuna bro wangu mmoja tulikua tunafanya kazi kampuni moja ni mtu wa starehe sana,,na tunaaminiana sana, sasa kuna siku kaja kunikopa hela 1M, nilichomjibu hakuamini masikio yake nikamwambia unaweka bond nini, akaanza kuleta habari za kujuana kwamba atarudisha mapema kama wiki 1 hivi, nikamwambia kwako kuna TV kubwa tu LG55inch weka bond nikupe hela, na kwa vile umeomba wiki 1 mimi nakuongezea wiki 1 ikipita hapo tusitafutane kuhusu TV, wiki ikakata ya kwanza namchora tu akila bata kwenye ki IST chake tena mda mwingne tukiwa wote tunakula bata na wala simkumbushi kuhusu deni lake,, ikabaki siku 2 wiki ya pili iishe ananiletea nusu deni eti 400K nikamkatalia, nikamwambia fata makubaliano, siku zikapita TV nikabaki nayo, nikaona inanikosesha amani tu nikiwa nayo nikaiuza mil 2, mpaka leo jamaa hatuongei kanichunia. anapambana na hali yake huko na mimi napambana na hali yangu.
Hana hata haya mxiuuu,Mimi siju niseme nilitapeliwa au nilidanganywa hata sijui ikoje hii ila roho inaniuma mpaka leo.
Mwanzon mwaka huu nikiw nafanya kibarua kampuni X bos wangu alikua na friend wake ambaye naye anamiliki kampuni Y.Zote zinajihusisha na kandarasi za IT.Ikatokea tumezoeana sana na frnd ake bos mwenye kampuni Y.Ni kampuni sio kubwa snaa ni za kawaida tu.Kilichotufanya kuzoeana na mshkaji ni baada ya yy kugundua pale ofsn ndio nimekua na take charge ya mirad kuanzia kuomba tender mpaka execution.Bos yy ana deal na yale yalio nje ya uwezo wangu like zile tender za kupika mezan ambazo u need to utilize connection zako kwa washika dau walioko kwenye taasis zinazohitaji huduma ila hiz za ushindan mm ndio nakomaa nazo.
Basi bwana kwakua jamaa alikua ana tatizo upande huo hasa wa kuandaa competitive documents, hivyo kaz kwake ikawa ni za nadra nadra tu mpaka siku aliponitafuta.Akanieleza A to Z alichokua nataka nimsaidie.Ofcz i was no body kwenye kampuni yetu, kazi nying ila wako mshahara tu hata ufanye ku acquire mrad wa 300m.
Kipind ananitafuta nilikua napambana na miradi miwili ya taasisi moja ya serikali iko mikoa tofauti.Baada ya kunililia sana shida na kutoa ahadi za hapa na pale tukafikia makubaliano nimfanyie kaz ya ku apply bid same same nilizokua naziomba kupitia kampuni yetu.
Maneno yasiwe mengi , nikampigia kazi (ofcz kile nilichokifa ya kwa kampuni yetu X nikaki boresha zaid nikakitumia kwa kampuni Y ya mshkaji) kwa makubaliano kwamba akipata tender yangu ni 1M kwa kila mradi kama fee.Pia nita execute mwenyewe mwanzo mwisho (hapa kuna agreement ambazo nilimu ensure kua nitamsaidia ku maximize profit kwa ku lower expenses as nilikua na magumash zangu za ku access grey market so same products OG unazipata kw bei chee kwakua delears wana namna zao za ku kwepa taxes) .hapa tukawa n makubaliano ya kulipana kivingine so jumla ikaja kama 5m.
Mungu si athumani jamaa akaikwaa miradi miwili .ofcz haikua mikubwa Cz ilikua na grand total ya 79M.
E bwana eee toka hapo simu zikawa hazipokelewi.Nikaja kumpata kashamaliza miradi na kashalipwa.
Nadai changu (zile 2M sasa za kumpatisha miradi) akaanza stori mara bank accntza kampun alikua ame over draft mara nin sijui daah..nikaona isiwe shida inawezekana Mungu kaniadabisha maana mm nili snitch chama langu nikampa deal mdau mwingine ...naye kaniliza.Ila kwakifupi jamaa ni kama kanitapel maana mpaka leo ni stor ingawa ana kiri ninamdai na akipata atanipa ila mpaka na post hii mtanzania mwenzenu 0-0 .Roho huwa inaniuma sana.
NB.
Alivyomjinga sasa mwez uliopita akanitafuta nimjazie tena document..Dah..mjini akil nguvu kijijin
Wazo zuri kabisaHahahah sasa inatwakiwa umtengenezee mazingira ya kumuosha. Mwambie deposit 5M kwanza kisha tuanze kazi! Akiingiza hela unamlima block mnamalizana kimjini mjini
Mimi rafiki yangu alikuwa anakuja kwangu ananikopa million tatu Nampa bila riba, anarudisha, siku nilipata shida nikamkopa nilikoma. Alinipa hela VIZURI Ila baada ya week akanifata kageuka anasema hela sio yake hivyo kila million niilipie laki moja. Na Ile hela nikawa siipati kila week namlipa laki tatu Hadi nikafilisika. Nikaja kugundua kumbe kile kipindi ananikopa Ni alikua anajenga namna ili Mimi nikipata shida nimkope yeye ili animalize.
Hapana.Nikapiga kimya mpaka leo.Ingawa ananitafuta kwa kaz zake ni draft project report ila now days pay first service later.tunaendeleaHana hata haya mxiuuu,
Kwahiyo na wewe ukamjazia au........
Nimejikuta hasira napata mimi