Ushawahi kutapeliwa na rafiki yako wa karibu

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,255
2,000
Ungana na mwanahamisi singano

Anasimulia
Ushawahi kutapeliwa? Mimi nimetapeliwa Tsh milioni kumi (10m) na rafiki yangu wa karibu, (best friend) rafiki ambaye mpaka familia zinajuana. Ila 10m ikafanya urafiki, ushoga na udugu ukafa moja kwa moja. Ilikuwa hivi, Shoga alinunua gari ya kubeba mafuta na kuanza biashara.

Biashara yake ni kununua mafuta depo na kusambaza. Akaniomba niwekeze kwenye biashara yake mana ana upungufu wa pesa ya kuzungusha, tukakubaliana kila mwezi atanipa faida ya mtaji wangu 10% ambayo ni 1m. Na nikitaka pesa zangu nimpe notice ya mwezi 1. Nikaona ni jambo jema.

Badala ya kudunduliza kuweka akiba benki ngojea nimpe shoga, nami nipate tufaida. Nikampa 10m kash. Tulikubaliana tutaandikishana kwa lawyer ila makaratasi hayakuja. Mwezi wa kwanza nikatumiwa 1m fresh, mwezi wa pili mpaka nikakumbusha, nikatumiwa nusu nusu.

Nikaja kujua kuwa amechukua pesa kwa rafiki yetu mwingine kwa dizaini hiyo, ila sikumuuliza. Siku moja kwenye mazungumzo, akajisahau akasema sasa hana stress mana gari kawakodisha watengeneza barabara, yeye wanamlipa tu kwa kutumia gari yake. Nikamwambia, ni vema anirudishie pesa.

Hapo ndio shida ilipoanza, miezi kama minne hivi tunadaiana, nikashikwa na hasira nikamwambia ntampeleka polisi. Hamadiiii naletewa barua ya mwanasheria kuwa niache kumsumbua na kumtisha mteja wake. Jema ni kuwa barua ya mwanasheria wake ilikiri kuwa niwekeza hela kwa makubaliano.

Kiukweli nilipata ghadabu kubwa mno, nikapata mwanasheria akajibu barua. Swala likafika kwenye familia. Kaka yake akaahidi kuwa nitalipwa. Kutoka october 2018 mpaka leo sijalipwa hata mia. Na si kuwa hawana hela wana mashule ya nursery mpaka college, basi tu, dhulma.

Nikataka kufungua kesi, mama na baba Mishy wakanisomea risala ndefuuuuuuuuu. Nakumbuka mama aliniambia, kama familia yake wamemuacha rafiki yako akufanyie ubaya sisi wazazi wako hatukuruhusu umlipe mwenzio ubaya, ulinde uungwana wetu Samehe. Mungu akatajwa kama mara alfu...hapo.

Jana usiku, kuna mtu alikuwa analalamika katapeliwa kikombe (mug) na alikuwa determine kupata haki yake, ikanifanya nikumbuke madhila yangu, nikiri, kahoro bado kanauma - 10m parefu jamaniiii. Nikaona japo niandike kuwakumbusha msirudie kufanya ujinga niliofanya. Nimejifunza mnoo.

Asante
Nikikumbuka 1.5 M imeenda mdada kanitapeli akzima simu acheni tu Mungu yupo
 
swahib sinjo

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
282
250
Hii kitu huwa inaumiza sana, nadhani ni kwa sababu unakuwa umefanyiwa na mtu wa karibu unayemuamini sana!!!!

Mini jamaa ya ngu mmoja aliwahi nifata nimuazime ela, nyuma kidogo pia nilkishadulumiwa e;a so nilishasema mm kumpa mtu ela tena basi, ila mshikaji jinsi alivyokuja unamuangalia usoni mpaka unamuonea huruma alivyokuwa na shida nikasema poa **** mmama ofisini anakopesha wafanyakazi wenzie tu kwa riba ya 10% kwa mwezi na jamaa alisema ndani ya week mbili atakuwa amerudisha nikasema poa nikaenda kumchukulia ela.

Nilikaa mpaka ikafika karibu millioni 2 jamaa kila siku sound zinabadilika na mnbaya zaidi ni kipindi nilikuwa naelekea kwenye harusi yangu, so mwenyewe nahitaji ela kwa ajili ya kufanikishia harusi huku nadaiwa.
Nimemsamehe jamaa lakini sintomsahau kwa jinsi alivyonisurubisha maana ilibidi niilipe mimi!!
 
Kilwa94

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
2,199
2,000
Ili neno 'What goes around comes around' linanipa nguvu sana kila napoikumbuka 250k yangu niliyomkopesha rafiki yangu na amegoma kunilipa.Nimeumia sana ukizingatia kipindi nampa hii hela nilikuwa naanza maisha ya kujitegemea,21yrs daah! Nilikuwa bado dogo sana.
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
4,832

Duh pole sana mkuu.
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,872
2,000
Ili neno 'What goes around comes around' linanipa nguvu sana kila napoikumbuka 250k yangu niliyomkopesha rafiki yangu na amegoma kunilipa.Nimeumia sana ukizingatia kipindi nampa hii hela nilikuwa naanza maisha ya kujitegemea,21yrs daah! Nilikuwa bado dogo sana.

Bwashee, imesha-come around hadi sasa?
 
Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,246
2,000
Mimi ninazo hadithi tofauti buanaaa...
Kuna nilizopoteza na ambazo Mimi pia niliaminiwa mambo yakaenda kombo( hapa ukumbuke niliochukua pesa zao wananiita tapeli)

Biashara zina changamoto sana.

1. Tulianzisha mradi wa marafiki buana tukanunua shamba tukaweka mbuzi lakini marafiki hawakuwa wakienda shamba wao watoto wa mjini, wawili ndio tilikuwa shambaboy waaminifu. Tukatafuta soko la nyama nje ya nchi biashara ikawa nono sana...ikaja tokea tumetuma mzigo na pesa hazikutufikia haraka happy wanakikundi walitutukana sisi wawili na kutuita matapali wakubwa, wameshasahau miaka miwili tunafanya biashara kwa niaba ya kikundi na tunagawana faida sawa bila kutufikiria sisi tunaovolunteer fully time. Pesa zilichelewa takribani miezi sita kikundi kikavunjika na mifugo ilobaki shambani wanakikuundi wakaenda ibeba nasi tukaambiwa tufuatilie zile pesa ndio malipo yetu.
Tulilipwa baadae pesa nono na riba japo doa letu ikawa matapeli
Mpaka Sasa tuliendeleza lile shamba sisi wawili. Ila ukiwakuta marafiki zetu wanatusema sisi matapeli na Sasa wengine wanatuomba wajiunge tena.

2. Niliombwa na ndugu achangie mtaji kwenye biashara yangu, nikawaza sana nikamwambia changamoto ya biashara akakubali akaleta mtaji wake, biashara ikaenda vizuri miezi Kama 8 dah, soko likabuma kule nje, nikaona nikimwambia ndugu yangu biashara imebuma atavunjika moyo, nikawa naendelea kumpa gawiwo kutoka kwenye source nyingine tu huku nikibuy time soko lirudi mswano, aaahh ndugu si akaniomba mkwanja aende nje ya nchi, nikamwambia asubiri kidogo, bahati nzuri nikapata pesa nikamtumia aende huko nje. Later akanambia anahitaji tena pesa yake yote anaacha biashara ameshapata faida imemtosha.
Arooooo hapo nikawa sina mkwanja ila nawaza nimueleze ukweli au la. Nikiwa naaandaa point nimueleze zikapita siku mbili ukoo mzima unanipigia simu nimemtapeli mamdogo pesa. Ikabidi niwaeleze mkasa mzima, aunt akasema achana nae aje achukue pesa kwangu kwanza umemzalishia sana ila umekosea kutomwambia nyakati mbaya za biashara so anaamini unatengeneza pesa kwa pesa yake.
Ikabidi nibebe bank statement ya ile biashara nipeleke kwa wazee waamue. Haikusaidia maana mamdogo kakomaa kinoma. Bahati mbaya alikuwa na kadi ya gari langu na hati ya kiwanja changu, akatangaza kukiuza na akauza kiwanja gari akakosa mteja. Alipouza akaniwekea change kwenye akaunti, ikawa kesi ya ukoo akaambiwa arejeshe hicho kiwanja, Mimi nikawaaambia aachwe tu.
Anyway maisha yanaendelea nilisamehe nae ni mlezi wangu so niliona alijilipa kiaina.

3. Kuna rafiki alinifuata ana shida kubwa nimkopeshe pesa, sikuwa na pesa ila Nina pesa za michango ya harusi mbili nimeweka bank....nikashikwa huruma ikabidi nimkopeshe maana alisema atalipa baada ya wiki mbili na huo muda harusi itakuwa Bado. Dah siku ikafika na akashindwa rejesha pesa, nilikaribia kuzimia maana aibu ilokuwa inataka kunikabili sijui ningefanyaje..
Mungu mwema sana nikapata pesa bila kutarajia kutoka kwa jamaa nilikuwa namdai pesa zangu miaka Kama miwili hivi akanitumia mkwanja wote nikasolve .

Story zitaendelea za matukio ya kudai kudaiwa na kudhulumiwa...

NB: KUNA NDUGU YUMO HUMU NA MAMA YAKE WALISHIRIKIANA KUNISHAWISHI NIMTUMIE MAMA YAKE HELA ANINUNULIE SHAMBA MPAKA LEO WAMENIDHULUMU, MUNGU ANAKUONA WE NDUGU NAJUA UNAPITAGA KWENYE MAANDIKO YANGU NA UNALIKE KABISA.
KAMA KUNA MALIPO YA KUDHULUMU HAKI ZA WATU WEWE NDUGU NA MAMA YAKO NIONYESHENI SHAMBA LANGU SIO HAKI KWAKWELI.
HALAFU MNAENDA KANISANI KUSALI KABISA .Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Msangarufu

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,788

daaah
 
Raia Mtata

JF-Expert Member
Feb 4, 2017
277
500
NILITAPELIWA NA CLOSE FRIEND WANGU AMBAYE URAFIKI WETU UNA ZAIDI YA MIAKA 15. KISA KIPO HIVI;
JAMAA YEYE NI FUNDI UMEME HIVYO KILA NINAPOTAKA KUNUNUA VIFAA VYANGU VYA UMEME NAMSHIRIKISHA, NA KWELI ANANISAIDIA ILA TUKIENDA KULE NADAI RISITI NA NAPEWA. NIKAJENGA NYUMBA YANGU AKANIFANYIA WIRING, CHANGAMOTO KULE NILIPOHAMIA WAKATI ULE PALIKUWA HAMNA UMEME HIVYO IKABIDI NITAFUTE SOLA POWER, NIKAAMUA KUMSHIRIKISHA, JAMAA AKAENDA KWA MUUZA DUKA AKAMWAMBIA NAKULETEA MTEJA LAKI TATU YANGU. JAMAA NIKAMPIGIA TUKAKUTANA KARIAKOO SIKU HIYO CHA AJABU AKANIPELEKA DUKA LILE LILE ALIPOCHONGA MCHONGO WAKE NA KWAKUWA SIKUWA NAJUA BEI HALISI YA VIFAA VYA SOLA NIKAPIGWA LAKI3 NA CLOSE FRIEND WANGU, CHA AJABU SIKU ILE NI KAMA NILIFUNGWA SIKUOMBA HATA RISITI YA MANUNUZI. HIVYO IKAWA RAHISI KUTAPELIWA. NILIJUAJE KAMA NIMETAPELIWA? BAADA YA KUPITA KAMA WIKI NIKAENDA MJINI NIKAJARIBU KUULIZA PANEL YA WT200 INAUZWAJE BEI NILIYOTAJIWA NIKAACHA MDOMO WAZI YANI KILA KIFAA MWENYE DUKA ALIONGEZA 50,000. NIKAMUENDEA NIKAMWAMBIA WE JAMAA NI TAPELI MBONA UMENIUZIA VITU GHALI SANA UKILINGANISHA NA MADUKA MENGINE? JAMAA HAKUJIVUNGA AKANIAMBIA ALIYEKUTAPELI SIO MIMI NI BEST FRIEND WAKO. NILICHUKIA SANA ILA NIKASAMEHE.
 
blackcornshman

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
4,965
2,000
Ungana na mwanahamisi singano

Anasimulia
Ushawahi kutapeliwa? Mimi nimetapeliwa Tsh milioni kumi (10m) na rafiki yangu wa karibu, (best friend) rafiki ambaye mpaka familia zinajuana. Ila 10m ikafanya urafiki, ushoga na udugu ukafa moja kwa moja. Ilikuwa hivi, Shoga alinunua gari ya kubeba mafuta na kuanza biashara.

Biashara yake ni kununua mafuta depo na kusambaza. Akaniomba niwekeze kwenye biashara yake mana ana upungufu wa pesa ya kuzungusha, tukakubaliana kila mwezi atanipa faida ya mtaji wangu 10% ambayo ni 1m. Na nikitaka pesa zangu nimpe notice ya mwezi 1. Nikaona ni jambo jema.

Badala ya kudunduliza kuweka akiba benki ngojea nimpe shoga, nami nipate tufaida. Nikampa 10m kash. Tulikubaliana tutaandikishana kwa lawyer ila makaratasi hayakuja. Mwezi wa kwanza nikatumiwa 1m fresh, mwezi wa pili mpaka nikakumbusha, nikatumiwa nusu nusu.

Nikaja kujua kuwa amechukua pesa kwa rafiki yetu mwingine kwa dizaini hiyo, ila sikumuuliza. Siku moja kwenye mazungumzo, akajisahau akasema sasa hana stress mana gari kawakodisha watengeneza barabara, yeye wanamlipa tu kwa kutumia gari yake. Nikamwambia, ni vema anirudishie pesa.

Hapo ndio shida ilipoanza, miezi kama minne hivi tunadaiana, nikashikwa na hasira nikamwambia ntampeleka polisi. Hamadiiii naletewa barua ya mwanasheria kuwa niache kumsumbua na kumtisha mteja wake. Jema ni kuwa barua ya mwanasheria wake ilikiri kuwa niwekeza hela kwa makubaliano.

Kiukweli nilipata ghadabu kubwa mno, nikapata mwanasheria akajibu barua. Swala likafika kwenye familia. Kaka yake akaahidi kuwa nitalipwa. Kutoka october 2018 mpaka leo sijalipwa hata mia. Na si kuwa hawana hela wana mashule ya nursery mpaka college, basi tu, dhulma.

Nikataka kufungua kesi, mama na baba Mishy wakanisomea risala ndefuuuuuuuuu. Nakumbuka mama aliniambia, kama familia yake wamemuacha rafiki yako akufanyie ubaya sisi wazazi wako hatukuruhusu umlipe mwenzio ubaya, ulinde uungwana wetu Samehe. Mungu akatajwa kama mara alfu...hapo.

Jana usiku, kuna mtu alikuwa analalamika katapeliwa kikombe (mug) na alikuwa determine kupata haki yake, ikanifanya nikumbuke madhila yangu, nikiri, kahoro bado kanauma - 10m parefu jamaniiii. Nikaona japo niandike kuwakumbusha msirudie kufanya ujinga niliofanya. Nimejifunza mnoo.

Asante
Usikute hayo mashule yanaendeshwa kwa mikopo,Hapa mjini Kuna watu wana madeni bwanaaaa lakini ukiwaona wametulia kumbe moyo unapigwa knockout taratibu.
 
ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
851
1,000
Mimi rafiki yangu alikuwa anakuja kwangu ananikopa million tatu Nampa bila riba, anarudisha, siku nilipata shida nikamkopa nilikoma. Alinipa hela VIZURI Ila baada ya week akanifata kageuka anasema hela sio yake hivyo kila million niilipie laki moja. Na Ile hela nikawa siipati kila week namlipa laki tatu Hadi nikafilisika. Nikaja kugundua kumbe kile kipindi ananikopa Ni alikua anajenga namna ili Mimi nikipata shida nimkope yeye ili animalize.
 
Ramaan

Senior Member
Aug 7, 2020
106
250
Ungana na mwanahamisi singano

Anasimulia
Ushawahi kutapeliwa? Mimi nimetapeliwa Tsh milioni kumi (10m) na rafiki yangu wa karibu, (best friend) rafiki ambaye mpaka familia zinajuana. Ila 10m ikafanya urafiki, ushoga na udugu ukafa moja kwa moja. Ilikuwa hivi, Shoga alinunua gari ya kubeba mafuta na kuanza biashara.

Biashara yake ni kununua mafuta depo na kusambaza. Akaniomba niwekeze kwenye biashara yake mana ana upungufu wa pesa ya kuzungusha, tukakubaliana kila mwezi atanipa faida ya mtaji wangu 10% ambayo ni 1m. Na nikitaka pesa zangu nimpe notice ya mwezi 1. Nikaona ni jambo jema.

Badala ya kudunduliza kuweka akiba benki ngojea nimpe shoga, nami nipate tufaida. Nikampa 10m kash. Tulikubaliana tutaandikishana kwa lawyer ila makaratasi hayakuja. Mwezi wa kwanza nikatumiwa 1m fresh, mwezi wa pili mpaka nikakumbusha, nikatumiwa nusu nusu.

Nikaja kujua kuwa amechukua pesa kwa rafiki yetu mwingine kwa dizaini hiyo, ila sikumuuliza. Siku moja kwenye mazungumzo, akajisahau akasema sasa hana stress mana gari kawakodisha watengeneza barabara, yeye wanamlipa tu kwa kutumia gari yake. Nikamwambia, ni vema anirudishie pesa.

Hapo ndio shida ilipoanza, miezi kama minne hivi tunadaiana, nikashikwa na hasira nikamwambia ntampeleka polisi. Hamadiiii naletewa barua ya mwanasheria kuwa niache kumsumbua na kumtisha mteja wake. Jema ni kuwa barua ya mwanasheria wake ilikiri kuwa niwekeza hela kwa makubaliano.

Kiukweli nilipata ghadabu kubwa mno, nikapata mwanasheria akajibu barua. Swala likafika kwenye familia. Kaka yake akaahidi kuwa nitalipwa. Kutoka october 2018 mpaka leo sijalipwa hata mia. Na si kuwa hawana hela wana mashule ya nursery mpaka college, basi tu, dhulma.

Nikataka kufungua kesi, mama na baba Mishy wakanisomea risala ndefuuuuuuuuu. Nakumbuka mama aliniambia, kama familia yake wamemuacha rafiki yako akufanyie ubaya sisi wazazi wako hatukuruhusu umlipe mwenzio ubaya, ulinde uungwana wetu Samehe. Mungu akatajwa kama mara alfu...hapo.

Jana usiku, kuna mtu alikuwa analalamika katapeliwa kikombe (mug) na alikuwa determine kupata haki yake, ikanifanya nikumbuke madhila yangu, nikiri, kahoro bado kanauma - 10m parefu jamaniiii. Nikaona japo niandike kuwakumbusha msirudie kufanya ujinga niliofanya. Nimejifunza mnoo.

Asante
Idriss Sultan, ule mpunga wa big brother, best friend wake, aliupiga vizuri Tu. Vumilia ndio changamoto za baadhi ya marafiki.
 
Kwizer

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
420
1,000
Sisi tunaodaiwa mwaka wa 5 huu ila dhamira ya kulipa ipo tunakomenti wapi
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,173
2,000
Ungana na mwanahamisi singano

Anasimulia
Ushawahi kutapeliwa? Mimi nimetapeliwa Tsh milioni kumi (10m) na rafiki yangu wa karibu, (best friend) rafiki ambaye mpaka familia zinajuana. Ila 10m ikafanya urafiki, ushoga na udugu ukafa moja kwa moja. Ilikuwa hivi, Shoga alinunua gari ya kubeba mafuta na kuanza biashara.

Biashara yake ni kununua mafuta depo na kusambaza. Akaniomba niwekeze kwenye biashara yake mana ana upungufu wa pesa ya kuzungusha, tukakubaliana kila mwezi atanipa faida ya mtaji wangu 10% ambayo ni 1m. Na nikitaka pesa zangu nimpe notice ya mwezi 1. Nikaona ni jambo jema.

Badala ya kudunduliza kuweka akiba benki ngojea nimpe shoga, nami nipate tufaida. Nikampa 10m kash. Tulikubaliana tutaandikishana kwa lawyer ila makaratasi hayakuja. Mwezi wa kwanza nikatumiwa 1m fresh, mwezi wa pili mpaka nikakumbusha, nikatumiwa nusu nusu.

Nikaja kujua kuwa amechukua pesa kwa rafiki yetu mwingine kwa dizaini hiyo, ila sikumuuliza. Siku moja kwenye mazungumzo, akajisahau akasema sasa hana stress mana gari kawakodisha watengeneza barabara, yeye wanamlipa tu kwa kutumia gari yake. Nikamwambia, ni vema anirudishie pesa.

Hapo ndio shida ilipoanza, miezi kama minne hivi tunadaiana, nikashikwa na hasira nikamwambia ntampeleka polisi. Hamadiiii naletewa barua ya mwanasheria kuwa niache kumsumbua na kumtisha mteja wake. Jema ni kuwa barua ya mwanasheria wake ilikiri kuwa niwekeza hela kwa makubaliano.

Kiukweli nilipata ghadabu kubwa mno, nikapata mwanasheria akajibu barua. Swala likafika kwenye familia. Kaka yake akaahidi kuwa nitalipwa. Kutoka october 2018 mpaka leo sijalipwa hata mia. Na si kuwa hawana hela wana mashule ya nursery mpaka college, basi tu, dhulma.

Nikataka kufungua kesi, mama na baba Mishy wakanisomea risala ndefuuuuuuuuu. Nakumbuka mama aliniambia, kama familia yake wamemuacha rafiki yako akufanyie ubaya sisi wazazi wako hatukuruhusu umlipe mwenzio ubaya, ulinde uungwana wetu Samehe. Mungu akatajwa kama mara alfu...hapo.

Jana usiku, kuna mtu alikuwa analalamika katapeliwa kikombe (mug) na alikuwa determine kupata haki yake, ikanifanya nikumbuke madhila yangu, nikiri, kahoro bado kanauma - 10m parefu jamaniiii. Nikaona japo niandike kuwakumbusha msirudie kufanya ujinga niliofanya. Nimejifunza mnoo.

Asante
Kwani familia ndo ilikopa? Kama ushahidi unao kalianzishe unaachaje 10 m kiboya hivyo?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,869
2,000
Mimi ninazo hadithi tofauti buanaaa...
Kuna nilizopoteza na ambazo Mimi pia niliaminiwa mambo yakaenda kombo( hapa ukumbuke niliochukua pesa zao wananiita tapeli)

Biashara zina changamoto sana.

1. Tulianzisha mradi wa marafiki buana tukanunua shamba tukaweka mbuzi lakini marafiki hawakuwa wakienda shamba wao watoto wa mjini, wawili ndio tilikuwa shambaboy waaminifu. Tukatafuta soko la nyama nje ya nchi biashara ikawa nono sana...ikaja tokea tumetuma mzigo na pesa hazikutufikia haraka happy wanakikundi walitutukana sisi wawili na kutuita matapali wakubwa, wameshasahau miaka miwili tunafanya biashara kwa niaba ya kikundi na tunagawana faida sawa bila kutufikiria sisi tunaovolunteer fully time. Pesa zilichelewa takribani miezi sita kikundi kikavunjika na mifugo ilobaki shambani wanakikuundi wakaenda ibeba nasi tukaambiwa tufuatilie zile pesa ndio malipo yetu.
Tulilipwa baadae pesa nono na riba japo doa letu ikawa matapeli
Mpaka Sasa tuliendeleza lile shamba sisi wawili. Ila ukiwakuta marafiki zetu wanatusema sisi matapeli na Sasa wengine wanatuomba wajiunge tena.

2. Niliombwa na ndugu achangie mtaji kwenye biashara yangu, nikawaza sana nikamwambia changamoto ya biashara akakubali akaleta mtaji wake, biashara ikaenda vizuri miezi Kama 8 dah, soko likabuma kule nje, nikaona nikimwambia ndugu yangu biashara imebuma atavunjika moyo, nikawa naendelea kumpa gawiwo kutoka kwenye source nyingine tu huku nikibuy time soko lirudi mswano, aaahh ndugu si akaniomba mkwanja aende nje ya nchi, nikamwambia asubiri kidogo, bahati nzuri nikapata pesa nikamtumia aende huko nje. Later akanambia anahitaji tena pesa yake yote anaacha biashara ameshapata faida imemtosha.
Arooooo hapo nikawa sina mkwanja ila nawaza nimueleze ukweli au la. Nikiwa naaandaa point nimueleze zikapita siku mbili ukoo mzima unanipigia simu nimemtapeli mamdogo pesa. Ikabidi niwaeleze mkasa mzima, aunt akasema achana nae aje achukue pesa kwangu kwanza umemzalishia sana ila umekosea kutomwambia nyakati mbaya za biashara so anaamini unatengeneza pesa kwa pesa yake.
Ikabidi nibebe bank statement ya ile biashara nipeleke kwa wazee waamue. Haikusaidia maana mamdogo kakomaa kinoma. Bahati mbaya alikuwa na kadi ya gari langu na hati ya kiwanja changu, akatangaza kukiuza na akauza kiwanja gari akakosa mteja. Alipouza akaniwekea change kwenye akaunti, ikawa kesi ya ukoo akaambiwa arejeshe hicho kiwanja, Mimi nikawaaambia aachwe tu.
Anyway maisha yanaendelea nilisamehe nae ni mlezi wangu so niliona alijilipa kiaina.

3. Kuna rafiki alinifuata ana shida kubwa nimkopeshe pesa, sikuwa na pesa ila Nina pesa za michango ya harusi mbili nimeweka bank....nikashikwa huruma ikabidi nimkopeshe maana alisema atalipa baada ya wiki mbili na huo muda harusi itakuwa Bado. Dah siku ikafika na akashindwa rejesha pesa, nilikaribia kuzimia maana aibu ilokuwa inataka kunikabili sijui ningefanyaje..
Mungu mwema sana nikapata pesa bila kutarajia kutoka kwa jamaa nilikuwa namdai pesa zangu miaka Kama miwili hivi akanitumia mkwanja wote nikasolve .

Story zitaendelea za matukio ya kudai kudaiwa na kudhulumiwa...

NB: KUNA NDUGU YUMO HUMU NA MAMA YAKE WALISHIRIKIANA KUNISHAWISHI NIMTUMIE MAMA YAKE HELA ANINUNULIE SHAMBA MPAKA LEO WAMENIDHULUMU, MUNGU ANAKUONA WE NDUGU NAJUA UNAPITAGA KWENYE MAANDIKO YANGU NA UNALIKE KABISA.
KAMA KUNA MALIPO YA KUDHULUMU HAKI ZA WATU WEWE NDUGU NA MAMA YAKO NIONYESHENI SHAMBA LANGU SIO HAKI KWAKWELI.
HALAFU MNAENDA KANISANI KUSALI KABISA .Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nimekusoma kwa kutumia ubongo wa ndani na nimegundua wewe unaweza kuwa na asili ya utapeli.
1. Kazi ya kikundi mfanye watu wawili tu kwa miaka miwili huku mkigawia wengine faida sawa na ile mnayopata ninyi? Kwa nini msingepigana ili kila mtu ashiriki? Kweli nyie ni wasamaria wa mfano!
2. Hili la pili nalo lina elements zote za matapeli. Kukunogesha kwanza na kafaida halafu baadae wanakupiga. Mbona wewe unakuwa ni mtu ''mwenye roho nzuri'' kiasi ambacho unapenda kufanyia wengine kazi na kuwapa faida tu?
3. Kweli unataka kutuaminisha ni busara kutoa fedha za mchango wa harusi kutoka benki halafu umkopeshe mtu mwingine kisa tu umemwonea huruma? Dunia ya sasa ukope fedha ili tu umkopeshe mtu mwingine wakati wewe mwenyewe hata hizo fedha zikipotea huna uwezo wa kuzilipa?
 
Wengine walikuwa watoto wa mjini mpendwa shambani wakanuke mbuzi kweli?

Kuhusu utapeli ni tafsiri yako wala sikupingi mie...Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom