nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Be Honest.
Kwenye Maisha ya mapenzi kuna yoyote yule ameshawahi kukupigania kwa lolote lile.
Au wewe bora lieende.
Nakumbuka kuna mwanamke wangu mmoja alinipa Laki 5 zamani izo nifungue biashara aisee ile hela ilinipa maisha nyie.