From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,072
- 3,827
Nilishawahi kupewa lift na baadaye mwenye gari akawapa watu wengine lift.
Hao watu wengine walikuwa ni wadada ambao tulikuwa tunafahamiana kwa salamu tu.
Siti ya mbele ya abiria ilikuwa na mtu na mimi nilikuwa nimekaa siti ya nyuma. Wale wadada walikuwa watatu.
Baada ya majadiliano ya utani, ikaonekana mimi ndiyo Mwenye nguvu za kumpakata mmoja wapo wa hao mabinti.
Dah! Safari ilikuwa ngumu, ukichukulia kwamba ndiyo damu ilikuwa inachemka vibaya na binti niliye mpakata alikuwa amevaa gauni la kuteleza lakini pana. Dah! Nikama tulikuwa uchi.
Bahati nzuri au mbaya tulishukia sehemu moja na nikachukua namba ya yule binti. Kilichofuata baada ya siku mbili tatu ni siri ya kitanda.