Ushawahi kupata mpenzi kwa devide and rule method

Nimeacha mm na niko na partner wengi kwenye biashara kuliko unavyoniwazia ww
Mpaka umekuja kuandika hapa inaonesha haujutii upuuzi na ubinafsi wako dhidi ya rafiki yako na unajivunia kuwa mjinga na mtu mwenye tamaa.
Kuna uwezekano mkubwa huyo jamaa yako alishajua usnich wako na anakungalia anakakausha tu.

Wewe ni mfano wa watu wasiojielewa.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Ni TANZANIA tu .. unapata vitu vitamu kama hivi
 
Kwa moyo mbaya huo,hutofautiani na askari walioua mfanyabiashara
 
Mi mwnyw nafanya hivyo sana,
ila sio kwa watu wangu wa karibu na tunaoaminiana. NAFANYA KWA WATU TUSIO NA MAZOEA KABISA AFU HANIJUI SIMJUI.

Wewe kwako Iyo imekua too much
 
Sensa ya Mwaka 2012, akahama.....ikapita miaka 11 hivi ukiongeza hapo inakuwa 2023 enhee hadithi Ni ya mwaka upi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shenzi zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…