Ushawahi kulazimisha penzi?

Kennedy huwa unalala kweli wewe...? Namashaka.unaweza ukawa jambazi huko Airport..

Mkuu SIWEZI kuandika posta zile za kusema nitarudi...hayo maelezo yanatosha
Haa😅😄😃🤣😂😀😀😅😄🤣🤣
Tuchape Kazi
Muda Huu Nakwenda Swaswa
Kesho Dar es Salaam, Ila Hali Ni Tete Sana
Yaani Mdudu Ndani Ya Kokwa La Embe Kaingiaje? Tumepatwa Taharuki
 
Haya bhana Pambana my friend.... success come to those who strive for it.
 
Lipia tangazo
 
Eeeeh....Kumbe mtu serious huwa ANAkuwa na Ujumbe kwenye paji la uso..kuwa unalisoma..

Basi Itakuwa sijui kusoma lugh hiyi
Nasema hiyo ni ngumu kumjua! Ingawa an intelligent lady atamuona maana anakuwa hana mbwembwe nyingi. Hawazi kukupeleka outing na yupo serious na future life. Playboy ni mwendo wa kukupa good time leo hii, uongo mwingi ! Kukuhaidi kukupeleka Dubai na corona hii, unapumbazika mzigo unatoa. A serious man unamuona mshamba tu
 
Duuuh...hiyo Dubai vipi?..
Mydear you can never know for sure... People lie and they make you believe what they are saying is true...you fall for the lie...
 
Duuuh...hiyo Dubai vipi?..
Mydear you can never know for sure... People lie and they make you believe what they are saying is true...you fall for the lie...
Nilikuwa nimesituka na comment ulosema mimi sijawahi kuwa mwanamke! Well hii sasa Naona tupo pamoja. Njia rahisi ni kujipa muda kabla ya kumvulia chupi. Playboy anaonekana baada ya muda mchache na serious man ataonekana tu. Ila akinamama mnapenda sana kudanganywa sana
 
hebu tusubir kuzika kwanza jamani doooh
 
Ooowky... tunapenda kudanganywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…