Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Niliwahi fanya biashara ya play station, nilikua nalaza 30,000 per day normal week day na hadi 70,000 per day week end,
Akaibuka mzee fulani kastaafu kapata hela zake za redandasi akafungua ps kubwa hiloo akaweka matv kibaao mbaya zaidi ni kwenye fremu ya nyumba zake, madogo wakaambizana wakaniacha na mativii yangu.
nikaishia kufunga.
Hahahahahaaa pole sanaaaa, ila uzuri wake unaweza ukaanzisha sehemu nyingine na kufanya vizuri zaidi,Niliwahi fanya biashara ya play station, nilikua nalaza 30,000 per day normal week day na hadi 70,000 per day week end,
Akaibuka mzee fulani kastaafu kapata hela zake za redandasi akafungua ps kubwa hiloo akaweka matv kibaao mbaya zaidi ni kwenye fremu ya nyumba zake, madogo wakaambizana wakaniacha na mativii yangu.
nikaishia kufunga.
Kweli kuna biashara nyingi zinafeli kwakushindwa kuikuza hiyo biashara, kuikuza hiyo biashara inahitaji ujuzi mwingine sio ule ambao umeutumia kuanzisha biashara, hapo ndio tunaposhindwa.Kuanza biashara Ni rahisi, kuiendeleza na kuikuza Ni ngumu, ila kuikuza na kuendelea kukua Ni swala lingine ilo
Kitu kizuri katika biashara unajifunza kwa vitendo kwhy ili ujue kosa lako lazima ukosee, cha msingi sio kufeli tu katika biashara cha msingi kujua kilichosababisha kufeli husipo jua kilichokufanya uanguke kila ukipita njia hiyo basi kitakuangusha kila ukipita,Nishafail mara mbili, biashara ya mitumba na biashara ya Nazi toka Mafia
Ni kweli mkuu, kila aliefanikiwa bas jua huko nyuma alianguka mahala ila alihazama wapi alijikwaa then akarekebisha akasonga mbeleKitu kizuri katika biashara unajifunza kwa vitendo kwhy ili ujue kosa lako lazima ukosee, cha msingi sio kufeli tu katika biashara cha msingi kujua kilichosababisha kufeli husipo jua kilichokufanya uanguke kila ukipita njia hiyo basi kitakuangusha kila ukipita,
Maelezo kidogo kuhusu hii biashara ya nazi.Nishafail mara mbili, biashara ya mitumba na biashara ya Nazi toka Mafia
Wazi au inbox?Maelezo kidogo kuhusu hii biashara ya nazi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app