Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,589 Reaction score 171,437 Mar 14, 2014 #21 HARUFU said: Labda kuna michango anayoitoa inakugusa kwa namna moja au nyingine Click to expand... Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomi pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh
HARUFU said: Labda kuna michango anayoitoa inakugusa kwa namna moja au nyingine Click to expand... Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomi pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,580 Mar 14, 2014 #22 Evelyn Salt said: Ha ha ha namchukia hata muda wa kuanza kumsearch nimuweke kwenye ignore sinaaaa sijui nikutafutie muda nikuweke??? Click to expand... Yap muwekeee harakaa
Evelyn Salt said: Ha ha ha namchukia hata muda wa kuanza kumsearch nimuweke kwenye ignore sinaaaa sijui nikutafutie muda nikuweke??? Click to expand... Yap muwekeee harakaa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,580 Mar 14, 2014 #23 charger said: Mimi mwenzenu nachukia rangi ya kijani na njano sijui kwanini. Click to expand... Mimi sipendii vitu vinavyocharge vyenzieeee
charger said: Mimi mwenzenu nachukia rangi ya kijani na njano sijui kwanini. Click to expand... Mimi sipendii vitu vinavyocharge vyenzieeee
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 14, 2014 #24 Evelyn Salt said: Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomi pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh Click to expand... Vumilia mkuu litatoka soon
Evelyn Salt said: Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomi pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh Click to expand... Vumilia mkuu litatoka soon
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,589 Reaction score 171,437 Mar 14, 2014 #25 Dinazarde said: Yap muwekeee harakaa Click to expand... Ngoja nikuwekeeeeeee
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,589 Reaction score 171,437 Mar 14, 2014 #26 Dinazarde said: Yap muwekeee harakaa Click to expand... Mazingira ya hivi hata pepo lenyewe linagomaga may be kama tumekwazana baadae yakaisha chuki pia inaisha ila kwa hivi nehi papaa
Dinazarde said: Yap muwekeee harakaa Click to expand... Mazingira ya hivi hata pepo lenyewe linagomaga may be kama tumekwazana baadae yakaisha chuki pia inaisha ila kwa hivi nehi papaa
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 217 Mar 14, 2014 #27 kateli said: Unaweza kujikuta kuna mtu unamchukia bila sababu na yeye pia anakuchukia.Yaani mnachukiana bila sababu na hamko compatible kabisa ila mnakutana kila wakat.Hamuongei mengi labda ya lazima au endapo kuna mtu kati. Hivi huwa ni nini? Click to expand... Huw hakuna sababu
kateli said: Unaweza kujikuta kuna mtu unamchukia bila sababu na yeye pia anakuchukia.Yaani mnachukiana bila sababu na hamko compatible kabisa ila mnakutana kila wakat.Hamuongei mengi labda ya lazima au endapo kuna mtu kati. Hivi huwa ni nini? Click to expand... Huw hakuna sababu
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Mar 14, 2014 #28 mwenyewe hyo hali unipata ila najitahdi Mungu kasaidia cna chuki nimejifunza kukabaliana na hali ya mtu
mwenyewe hyo hali unipata ila najitahdi Mungu kasaidia cna chuki nimejifunza kukabaliana na hali ya mtu