Shukrani kiongoziHiyo ni 50/50 usiwekee matumaini sana focus na kufanya mishe zingine wakikuita sawa itakuwa bahati yako
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Asante sana kaka.....hizi ajira changamoto sana 😂😂😂Nakumbuka nilifanya interview ya kwanza nikaambiwa I will call u very soon🥺wiki ikaisha kimuhe muhe 😀😀kweli Wakaja kunipigia baada ya wiki mbili nikafanya tena interview ya pili wakaniambia watanipigia🙆♀️🙆♀️ muhe muhe kikaanza upya.wiki ya tatu sasa na tamaa nimeshakata na kukonda nimeshakonda😀😀napigiwa tena simu ya kufanya interview ya tatu na watu lukuki Jehovah..wahi uvumilivu wa kuendelea kusubiri hiyo veri suni yao ukanishinda wallah.
Ule wakati ulipo fika wa kuuliza maswali ilinibidi niulize ni lini nitapata majibu baada ya hii interview maana nilichoka kuishi kwa mashaka na presha.
Kuna kampuni nyingine ni waaaminifu.kama umekosa wanakutumia mail kuwa hujafanikiwa na hizi kampuni ni chache sana zenye huu uaminifu.watu hawafanani.
So Chief endelea kuwa subiri huku ukifanya mambo yako mengine ya msingi🧚♀️🧚♀️
Na vp ulivyomtext hr ulifanikiwa ?aixee...haja maixha xio poa...mimi nilikaa nikaona kimya nikatext hr...inabidi upambane
means hukupata kazi hapoMara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.
Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?
Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
Duuhmeans hukupata kazi hapo
Mwandiko wa msomi huu? Duh nchi hii kuendelea itachukua miaka 1,000,000aixee...haja maixha xio poa...mimi nilikaa nikaona kimya nikatext hr...inabidi upambane
kabisa mkuu huenda hata miaka 10E15Mwandiko wa msomi huu? Duh nchi hii kuendelea itachukua miaka 1,000,000
Sio poa kabisa mzeeAsante sana kaka.....hizi ajira changamoto sana 😂😂😂
aixee...haja maixha xio poa...mimi nilikaa nikaona kimya nikatext hr...inabidi upambane
kila maombi ninayotuma laxima niwepo kwenye xhortlixt..Kwa muandiko huu ulipata wito wa interview? Au kuna mtu alikusaidia kuhariri barua zako?
Huu upuuzi gani unaandika? Nyie ndio inabidi mpigwe chanjo haraka mutuondolee ujinga jukwaani humukila maombi ninayotuma laxima niwepo kwenye xhortlixt..
uxikariri ukiwa xmart xana ndio kufanikiwa maixha
Hio ni sawa na mtu kukwambia nitakujulisha 😅!Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.
Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?
Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.