C' Minder hilo ni tatizo la kimazoea na umeathirika kisaikolojia. Ni kwamba hayo mazungumzo na namna mnavyochat na mpenzi wako ndo vitu vinavyoku-turn ON, sasa mkiwa pamoja mnajikuta hamvizungumzi midomoni mwenu labda pengine kutokana na kuheshimiana, kutozeana na kuoneana aibu.
Nashauri kwanza muweke wazi mwenzio kwa sababu na yeye anahusika ktk hilo tatizo afu muanze kujenga mazoea ya kuropoka, kuongea na kuyafanya yote yale mnayochati. Mapenzi ni uchafu, kuanzia maneno na mengineyo hivyo msioneane aibu kuongea dirty words coz that is what suites you romantically.