Ushauri!

Ushauri!

nhyama

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
48
Reaction score
29
Habari za wakati huu wadau? Samahani kuna jambo limenitatiza naombeni mnisaidia kabla sijaingia mkenge. Kuna ujumbe wa maandishi(sms) nimepokea kutoka kweny no. +255786899116, unaosema +12068553227: YOUR MOBILE NO HAVE WON ($.550,000.00 DOLLARS)COCA-COLA FIFA WORLD CUP RUSSIA TO CLAIM IT SEND YOUR DATAILS TO EMAIL: cocacocacoca2014@outlook.com. Hii sms nimeicopy kama ilivyotuma kwa hiyo nipeni ushauri niwatumie au niwapotezee?
 
Ulishawahi kushiriki/ kujiandikisha kwenye hayo mashindano hadi ushinde?

Unaelekea kuibiwa...
 
Ukitaka kulia kilio cha mbwa mwizi aliyechezea kichapo baada ya kubambwa kadokoa mboga uswazi basi jaribu.huwa wanaanza mdogo mdogo na lugha zao huwa zinakuwa taamu zaidi ya papuchi.kuja kushtuka tayari chombo kimezama
 
Sip wewe tu, hata mimi nilipokea SMS Kama yako juzi tu
Ur number has won $ 2milion in NOKIA PROMO, for claim send ur name, address & mobile to our pay centre@hotmail.com or call+447014212275, WINNING #07.
 
Habari za wakati huu wadau? Samahani kuna jambo limenitatiza naombeni mnisaidia kabla sijaingia mkenge. Kuna ujumbe wa maandishi(sms) nimepokea kutoka kweny no. +255786899116, unaosema +12068553227: YOUR MOBILE NO HAVE WON ($.550,000.00 DOLLARS)COCA-COLA FIFA WORLD CUP RUSSIA TO CLAIM IT SEND YOUR DATAILS TO EMAIL: cocacocacoca2014@outlook.com. Hii sms nimeicopy kama ilivyotuma kwa hiyo nipeni ushauri niwatumie au niwapotezee?
Matapeli tu hao achana nao watakuliza ukose mtu wa kukufariji. Wewe utakuwaje mshindi kwenye shindano ambalo hujashiriki. Hii ni kama kusema mashindano ya riadha za mita mia moja yanafanyika Uingereza halafu mshindi anatangazwa kuwa ni wewe uliyepo bongo. Wapi na wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom