Atakayekupa ushauri hapa atakuwa na akili kama zako.
Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu, mimi ni kijana mweny umri wa miak 25, nipo chuo kikuu cha arusha, nilizaa na mtoto wa mchungaji huko dar nikiwa na jiandaa kujiunga chuo,na nilipokuja chuo nikampenda msichana mwingine toka moyon na mpaka sasa nipo nae na ni mjamzto na hali ya maisha ni ngum sana sasa na cna boom na cna ela ninachanganyikiwa cjui nifanyaje mambo ni magum naombeni ushaur ndugu zangu. Asanten
kwanini hukujipanga kabla ya kuchukua huo uamuzi wa kuwazalisha watoto wa watu?
Nalog off
Alijisahau sana..kama alivoenjoy kuwananiliu watoto wa watu ajikubalishe kuwa baba..
Hapo kwenye red umenishangaza sana.Ina maana yule wa Dar ulimpenda toka wapi???Najua uko katika msongo wa mawazo,tulia kwanza,wewe siyo wa kwanza kuwa katika hali hiyo.Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu, mimi ni kijana mweny umri wa miak 25, nipo chuo kikuu cha arusha, nilizaa na mtoto wa mchungaji huko dar nikiwa na jiandaa kujiunga chuo,na nilipokuja chuo nikampenda msichana mwingine toka moyon na mpaka sasa nipo nae na ni mjamzto na hali ya maisha ni ngum sana sasa na cna boom na cna ela ninachanganyikiwa cjui nifanyaje mambo ni magum naombeni ushaur ndugu zangu. Asanten
Atakayekupa ushauri hapa atakuwa na akili kama zako.
Atakayekupa ushauri hapa atakuwa na akili kama zako.