Ushauri..


wewe una mchumba halafu mnatiana kabla ya ndoa. sasa hapo kwa nini isisinyae? maana mnafanya jambo ambalo halina baraka za Mungu. ungetuambia kwamba tayari mko katika ndoa ningekupa ushauri mzuuuri sana kijana.
 

Tatizo ni moja tu hapa mkuu, sex before marriage...
Ukimuoa huyo dada we utaona mambo yatakavyojipa...kitu kitakua kigumu kama ndizi mshale
 
Tatizo ni moja tu hapa mkuu, sex before marriage...
Ukimuoa huyo dada we utaona mambo yatakavyojipa...kitu kitakua kigumu kama ndizi mshale

Daddy kwanza shikamoo... hivi wewe ulimuoa mumy ndo mkanzaa???

Afu yule nanilii anayekujaga kwako ni nani??
 
tuna mpango wa kuoana soon@kamanda mkuu naomba ushauri
 
Inawezekana ni ishu ya kisaikolojia, labda ni mwanamke ambaye ubongo wako unaona kama she is out your league ama too good to be true ndio maana ile excitement inakufanya confidence yako kushuka usijue kwamba itakuaje baada ya sex kama utamridhisha tena ama lah, au kama ataendelea kuwa nawe ama niaje! Kimsingi nadhani anayeweza kukusaidia zaidi ni huyo mwanamke mwenyewe akubusti kimwili na kiakili I am sure kila kitu kitakua poa.

BTW tafuta na mechi ya mchangani ujaribu uone kama kote ni hivyo hivyo(joke)
 
Nivile tu bado umgeni ila hii ingepelekwa jukwaa la chini kule kuna mafundi wangekufundisha nini cha kufanya.

Achana na hao wengine wanakutisha wakati wenyewe ndio wazinzi wakuu wa hapa jukwaani na mtaani.

Punguza mchecheto unapokuwa faragha na kijana mwenzio, usipanie sana mechi, pia muwe na mda mwingi sio mnafanya kwa fasta fasta sana.
Nadhani ni suala la "mara ya kwanza" kwako uh??
Ndio inavyokuwaga kwa baadhi, so ni kawaida tu wala hauna tatizo hapo .
 
Daddy kwanza shikamoo... hivi wewe ulimuoa mumy ndo mkanzaa???

Afu yule nanilii anayekujaga kwako ni nani??

marhaba princess!
mama yako alikua anajitunza sana...ndiye aliyenifunza haya maana alisema hatanipa cookies hadi ndoa nami sikua na hiyana kwa kuwa nilipenda and believe me the day I touched her, "telemka tukaze" (kitanda cha kizamani) ilianguka kama mara mbili.

Yupi huyo daughter aliyekuja kwangu hahah??
 

Wazazi wake watakuwa wamemLock binti yao kwa maombi na sala.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
duuuuuuh kaaaaaaaaazi kweli kweli! mtu anaomba ushauri lakini nyie mnaleta masihara kweli
 
Sychologically effect pole sana just comedown before hujaingiza. Then zoea mazingira sio unahema kama unataka kuchinjwa
 
Tatizo ni moja tu hapa mkuu, sex before marriage...
Ukimuoa huyo dada we utaona mambo yatakavyojipa...kitu kitakua kigumu kama ndizi mshale

umenichekesha ww yawezekana akioa itaendelea kuwa ndizi bukoba sio mshale tena itakuaje sasa.
 
ina maana umeshajaribu mara ngapi kuchomeka ngoma inakataa?? na muna muda gani? na je hujawahi kuchomeka kwa msichana yoyote baada ya kujua mapenzi?
 
Meza panadol mbili dakika kumi kabla ya tendo,utanipa matokeo
 
vipi huyo mchumba wako ni mnene nini?
 
kweli madogo wa siku hizi ni tatizo sana. Acheni kula chips na mayai ya kizungu!
Huko tuendako itafika kipindi kupishana na wanawake waja wazito njiani itakuwa nadra sana.
mbona sisi tulikuwa tupiga cha kwanza bafuni (nyeto) halafu ndo tunaanza gemu!!!?
hapa utaambiwa mambo ya kisaikolojia, but lishe dogo ndo mpango mzima.

mara ya mwisho chips dume ulikula lini? Hukumbuki!
Anyway, nenda kwa wataalam wa afya ya uzazi utapata suluhisho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…