ushauri

mamkindi

Member
Mar 14, 2012
61
5
Nina kawaida ya kwenda perion kwa siku 4 au 5 na kila period nikifika siku ya tatu inakata nakuwa mkavu kwa siku nzima then inaanza tena kwa muda ndio inakata. je wanajf naomba kuuliza hapa nitakuwa nina tatizo la kizazi au ni kawaida?
 
Pole kwa unachokiwaza, hili si tatizo, ila ni maumbile uliyorithi toka kwa mzazi wako wa kikeni.
Ni hali ya kawaida isikupe wasiwasi wapo wanawake wengi wenye hali kama yako.
 
Pole kwa unachokiwaza, hili si tatizo, ila ni maumbile uliyorithi toka kwa mzazi wako wa kikeni.
Ni hali ya kawaida isikupe wasiwasi wapo wanawake wengi wenye hali kama yako.

nashukuru sana kwa kunitoa wasiwasi.
 
Back
Top Bottom