Ushauri

mwambene

Member
Jul 16, 2011
5
0
Ndugu zangu chuo kikuu cha bagamoyo kina mfadhili wa kusomesha wanachuo wa hapo? kwani programme hata za education zinagharimu pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 4990000/=kwa mwaka kama hakuna je,mtanzania wa kawaida ataweza kumudu gharama hii au kipo kwa ajili ya watu wa nje? ninaomba mnisaidie kwa mie ni mmoja wa wliochaguliwa.
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,126
3,735
kaka mi nakushauri usubiri mwakani ufanye tena application maana hapo huna jinsi.Na kingine usifanye tena makosa ya kuapply vyuo vya private wala vyuo bora Tanzania maana unaweza ukazinguliwa tena wewe kama umepata point za kawaida just apply vyuo ambavyo havina competition cha msingi kugraduate.
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,037
1,829
Ucpoteze muda nyumban mkuu,nenda tcu waambie wakubadlishie chuo,uwaambie hutaweza kujilipia ada cuz ni kubwa sana.
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,126
3,735
Ucpoteze muda nyumban mkuu,nenda tcu waambie wakubadlishie chuo,uwaambie hutaweza kujilipia ada cuz ni kubwa sana.

kama ndo hivyo hana haja ya kwenda TCU hata akienda udsm,aru,udom,ifm.....atapokelewa tu kama point zinaruhusu maana private hawana tabu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom