Ushauri

Ushauri

thee kid

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
66
Reaction score
52
habarini wakuu?natumai mu wazima.kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza.Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu,tahasusi ya HGL.ufaulu wangu ni division 2.10(DCC).nilikuwa namba mnishauri course nzuri za kusoma ngazi ya degree.natanguliza shukurani!!
 
Back
Top Bottom