Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,446
ha ha ha hakwakweli mpenzi lazima apendeze tu
ha ha ha ha kubana matumizi mkuuMalalamiko yamezidi.wanawake tutafute pesa zetu.
La unashangaa mume ghafla hataki upake make up,usuke.
Unaambiwa kanyoe na kuanzia Leo unapaka mafuta ya mgando.
Hahaha huko ni kunyanyasanaha ha ha ha kubana matumizi mkuu
ha ha ha haHahaha huko ni kunyanyasana
ha ha ha ha kivipi mkuuDuuh jamani wakati mwingine mnajisau wenyewe na mambo ya dunia hii mnasingizia watoto wa watu..
ha ha ha haDuh Dunia yaleo utampata wapi mwanamke bahili mzee
NB: kuanzisha mahusiano mapya nacho nikiwanda kwahiyo usijali mleta mada
Malalamiko yamezidi.wanawake tutafute pesa zetu.
La unashangaa mume ghafla hataki upake make up,usuke.
Unaambiwa kanyoe na kuanzia Leo unapaka mafuta ya mgando.