ushauri

ushauri

musarashidy12

Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
19
Reaction score
10
habari zenu humu naombeni ushauri kuna mwanamke nimempenda ila siku namfata kumwambia hisia zangu akanimbia alikuwa na mpenz wameachana ila ni mjamzito na ina miez minne ila anaonesha ananipenda pia na wala hana kuniomba omba hela na swala la huduma aliniambia ni kujiongeza tu mwenyewe na kama nimempenda nimpende yeye kama yeye naombeni ushauri jaman
 
Unampenda au unamtamani? Tafakari hayo maneno mawili kisha chukua hatua
 
maana ya kuuliza lile swali lako
Umekosa mwanamke aliye fresh hadi unaenda kutema sumu mahali ambapo mwanaume mwingine ameweka mzigo wake.

Kesho na kesho kutwa jamaa akija kuchukua mzigo wake, ukasirika ?
 
mimi lengo langu sio kwamba mtt awe wa kwangu hapana
Sasa kama umempenda mama yake, mtoto utamfukuza? Ujauzito una miezi minne tu kakueleza chanzo cha kutengana na mwenye ujauzito? Vipi kama ujauzito ndio umefanya wapate hali ya kuchukiana na baadae akijifungua hali hiyo ipotee waanze kutafutana?

Je unauhakika gani kuwa ni kweli anakupenda? Vipi kama kakukubalia ili apate mtu wa kumuhudumia kwa kipindi hiki cha ujauzito wake?

Tafakari, chukua hatua, kila la kheri
 
Back
Top Bottom