Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 188 Reaction score 154 Apr 10, 2019 #1 Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu?
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,967 Apr 10, 2019 #2 Osmokalu said: Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu? Click to expand... Barafu na ukandaji wake weka Hilo barafu kwenye kitambaa cha taulo au Nguo yoyote ndio ukande barafu likiwa limefungwa kwenye kitambaa hicho
Osmokalu said: Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu? Click to expand... Barafu na ukandaji wake weka Hilo barafu kwenye kitambaa cha taulo au Nguo yoyote ndio ukande barafu likiwa limefungwa kwenye kitambaa hicho