Mkuu inabidi ufanye kwanza research ndogo ili ujue eneo ulilopo ni aina gani ya mifugo inalipa, kama ni nyama ya kuku, kama ni mayai, kama ni kitimoto, au maziwa.
Baada ya kujua hayo ndio unaweza kuamua ufuge kipi, mtu anaweza kukushauri ufuge nguruwe kumbe huko biashara hiyo haitoki nk. Then ukishajua aina ya mifugo inakusaidia kukadilia na gharama zake
Sent using
Jamii Forums mobile app