Ushauri

Haya sala rahis hii hapa mfundishe

"Eeh mwenyez Mungu bariki chakula hiki barik aliyekiandaa bariki aliye pika na bariki pia kila mmoja wetu anaye enda kula ili kiweze kutupa nguvu za kukutumikia vyema amen"....!!
 
Majibu mengine [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Acha ulalamishi bwana aah kwani wewe ukisali unaumia mahali? Mbona yeye anapika kila siku asemi, wewe sali tuu siku akichoka kuskiliza sala zako ataomba asali mwenyewe
Inawezekana jamaa ndio wale wa kusogezewa mpaka remoti....

Kanishangaza mpaka kuombea anaona tabu???
 
Naona sijaeleweka mahali. Nimesema naombea chakula.
Tatizo ni mwenzangu anasema hajui kuombea chakula.
Nimekuja hapa kuseek help namna ya kufundisha wife namna ya kuombea chakula yaani nianzie wapi kumfundisha!?
 
Naona sijaeleweka mahali. Nimesema naombea chakula.
Tatizo ni mwenzangu anasema hajui kuombea chakula.
Nimekuja hapa kuseek help namna ya kufundisha wife namna ya kuombea chakula yaani nianzie wapi kumfundisha!?
Mnunulie vitabu vya sala mpe asome akariri, na umuache mpaka atakapokuwa tayari kusali mbele, maana sometime kusali mbele ya mtu ama watu ni kipaji pia,
 
Sasa mkuu hayo ni masuala ya kiimani, ye na wewe kama wote ni imani moja si umfundishe kusali kutokana na imani yenu ila kama ni imani tofauti basi tafuta wa imani yake akuelekeze nna wanavyoombea chakula ktk imani yao umfundishe.....mambo mengine si ya kuomba tukushauri ni suala la akili tu kuamua....ila hata ukiwa unaombea wewe kila siku kwani ni dhambi, ye anakuwa anapenda we mme uombee kwakuwa we ndo mtafutaji na mletaji wa ridhiki, unadhani ukiwa haupo huwa haombi wakati anakula......
 
kanunue kitabu cha sala umfundishe kwa siku mbili tatu atazoea
 
mlete kwangu nimfundishe kwa wiki moja tu atakuwa vizuri
 
Jaribu kumfundisha na ufahamu udhaifu wake upo wapi kwenye maswala ya kiroho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…