noma sanaAiseeeh
Aiseee una maudh ujueAiseeeh
Kwetu tunasema kid can kill kul sigidnoma sana
Aseeeh nmekumiss wewe mpaka nabubujika mate ya rasharashaAiseee una maudh ujue
Shem hayo maneno shem[emoji85]Aseeeh nmekumiss wewe mpaka nabubujika mate ya rasharasha
mh kama kidhungu vileKwetu tunasema kid can kill kul sigid
Shem kwani mimi ninamadhara kwako basiShem hayo maneno shem[emoji85]
Hicho ni kidhungumkuti chaliakee sio kidhungumh kama kidhungu vile
Acha ulalamishi bwana aah kwani wewe ukisali unaumia mahali? Mbona yeye anapika kila siku asemi, wewe sali tuu siku akichoka kuskiliza sala zako ataomba asali mwenyeweWapendwa wasalaam!!!
Niko kwenye ndoa changa, mke wangu ni mtulivu sana na mkimya pia.
Ninalo mpishi mzuri na mwenye bidii ya kazi.
Sasa kuna suala moja simuelewi. Kila anandaa chakula mezani. Ukifika muda wa kula huwa haombi badala yake husubiri mimi niombee chakula ndipo tunakula. Na mimi kwa kweli ninafanya hivyo.
Lakini navyojua ni kwamba mpishi anatakiwa kuombea chakula, mwenzangu anasema sijui.
Sasa nisaidieni njia rahisi ya kumfundisha kusali kuombea chakula kilicho mezani na Sala kushukuru baada ya kula.
Ni hilo tu. Asanteni sana
Shem kwani mimi ninamadhara kwako basi