Jamani tunavotoa baadhi ya taarifa humu JF ziwe taarifa zenye uhakika na uthibitisho kama unatoa thread yako inayohusu Habari nyeti zaidi toa na evidence ili mtu awe na uhakika wa Habari husika
Kuna watu wanavunja sana watu mioyo humu ndani kwa habari ambazo ni tetesi tu
Ndugu zangu hususani mlioomba mikopo ukiendelea kufuatilia thread nyingi za wanaJF unaweza ukakata tamaa ya kuendelea na chuo,
Ila cha msingi kwa habari husika ni vema mkafatilia kutoka vyanzo kamili vyenye Data kamili
Mwisho napenda kusema
Wote mtapangiwa mikopo na mtaenda vyuo