Ushauri

Ushauri

undergone

Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
99
Reaction score
54
Mmeamkaje wapendwa,naombeni ushauri nimechaguliwa kwenda kusomea ordinary diploma in petroleum geoscience madini institute pale Dodoma lkn nataka kubadilisha niende ordinary diploma in laborary technology.....Nifanyeje sasa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
wakati unaweka kama moja ya machaguo yako si uliridhia na kuona kwamba una uwezo wa kuimudu hio kozi? hapo hamna namna, kama unaweza subiri mpaka next year uapply tena.
 
Mmmmmmmmh hakuna kabisa uwezekano wa kubadili????
 
Mmeamkaje wapendwa,naombeni ushauri nimechaguliwa kwenda kusomea ordinary diploma in petroleum geoscience madini institute pale Dodoma lkn nataka kubadilisha niende ordinary diploma in laborary technology.....Nifanyeje sasa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nenda kaon gee na NACTE NAONA watakusikiliza
 
Back
Top Bottom