DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ni ushauri wa kiroho safiiii. Kama unaona haukufai upotezeeKwahiyo kabisa ukakaa ukafikiria na unaona umeleta booonge la thread!
Kwani nyie mna tofauti gani na sisi hadi upate nguvu ya kutoa ushauri?
Kundi lenu mpaka saizi haifahamiki nafasi ya pili ni ya naniKwahiyo kabisa ukakaa ukafikiria na unaona umeleta booonge la thread!
Kwani nyie mna tofauti gani na sisi hadi upate nguvu ya kutoa ushauri?
Wiki ijayo naingiza ndani mke wa 3 sheikhNdio akili hizi hizi unategemea kuja kutafutia mke na kulea familia utakapotoka kuishi kwa shemeji?
Kama mashabiki wa Yanga wameweza kuoa nini kinashindikana kwa binadamu wengine?Ndio akili hizi hizi unategemea kuja kutafutia mke na kulea familia utakapotoka kuishi kwa shemeji?
Ndio kundi la kifo linavyokuwa, sio group timu ina points 10… sio kundi la mpira hilo ila rede.Kundi lenu mpaka saizi haifahamiki nafasi ya pili ni ya nani
Simba nao wafanye nini? 😅😅Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.
Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.
Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.
Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timuNdio kundi la kifo linavyokuwa, sio group timu ina points 10… sio kundi ni la mpira hilo ila rede.
Another stupid post. Don't you have something better to do with your time?Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.
Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.
Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.
Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Kama ni mpenzi na mfuatiliaji wa kweli wa mpira na naamini uko hivyo, utajua katika mashindano yote "kundi la kifo" linatambulika mwanzoni mwa mashindano kutokana na wingi wa timu zenye viwango katika kundi moja. Hausemi kundi ni la kifo katikati ya mashindano kisa timu zinakaribiana point. Kundi la Yanga halina vigezo vyovyote la kuwa kundi la kifo.Ndio kundi la kifo linavyokuwa, sio group timu ina points 10… sio kundi la mpira hilo ila rede.
Group pekee michuano hii timu ina points 10 🤣🤣🙌🏾
hata ya kwanza hafahamiki pia.Kundi lenu mpaka saizi haifahamiki nafasi ya pili ni ya nani
Ila msimamo utavyoishia inafahamikahata ya kwanza hafahamiki pia.
Hivi kwa nini timu zikicheza na Yanga zikafungwa zinageuka kuwa mbovu? Hii Yanga ni bora sana.Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu
Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita
Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.
Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Sasa hizi story za enzi ya Mwalimu za nini tena?Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu
Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita
Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.
Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Ndilo kundi pekee ambalo kila timu imeshinda kombe la ligi kuu nchini kwao msimu uliopita.Kama ni mpenzi na mfuatiliaji wa kweli wa mpira na naamini uko hivyo, utajua katika mashindano yote "kundi la kifo" linatambulika mwanzoni mwa mashindano kutokana na wingi wa timu zenye viwango katika kundi moja. Hausemi kundi ni la kifo katikati ya mashindano kisa timu zinakaribiana point. Kundi la Yanga halina vigezo vyovyote la kuwa kundi la kifo.
Nikuulize wewe kwanini Simba alipotoa sare na Al Ahly, Al Ahly ikaitwa mbovu timu ya wauza unga na kudai itafungwa kwenye mechi yenu?Hivi kwa nini timu zikicheza na Yanga zikafungwa zinageuka kuwa mbovu? Hii Yanga ni bora sana.
Mzeebaba mmeshindwa kuwafunga jwaneng na asec ndo mngewafunga ahly na crb? Hauko serious wewe. Halafu Mambo ya kuongoza kundi misimu iliyopita haiwezi kukupa faida yoyote kwa sasa, acha ushabiki uongee vitu vya maana. Yaani kumfunga wydad ambaye kafungwa na timu zote kwenye group mnajiona mmeshafika finally.Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu
Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita
Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.
Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Kwani umesahau tulipotoa sare na Al Ahly mlisema Al Ahly ameshuka kiwango sio kama alivyokuwa zamani?Sasa hizi story za enzi ya Mwalimu za nini tena?
Tuongelee wakati uliopo tafadhali, ukitaka kuleta story hata sisi tutakuambia tumecheza fainali msimu uliopita.