Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Kama heading inavyosomeka,ni zaidi ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo la ndoa.
Jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekuwa inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadhalini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
Nawasilisha.