Ni cpu nzuri mkuu lakini ni dual core tu. Itafanya mambo ya kawaida na photoshop ila games kubwa hazirun kwenye dual core.Hivi lenovo V14 SMD 3020E
Kiuwezo ipoje inaweza kufanya mambo mazito? Mfano. Ku run Photoshop, Games kubwa kubwa? Chief-Mkwawa
3050E ambayo ni kubwa ya huyo yenyewe ni dual core lakini ina hyper thread angalau utarun games kama gta V, FIFA, pes na games nyengine ambazo sio nzito sana. Pia inakula umeme kidogo sana watts 6 tu.Dah bora umenijulisha
Chief-Mkwawa Vp hii3050E ambayo ni kubwa ya huyo yenyewe ni dual core lakini ina hyper thread angalau utarun games kama gta V, FIFA, pes na games nyengine ambazo sio nzito sana. Pia inakula umeme kidogo sana watts 6 tu.
Celeron Haina issue pia, celeron na pentium kwa kazi kubwa huwezi tumia.
Chief-Mkwawa boss naomba nijuze hiiCeleron Haina issue pia, celeron na pentium kwa kazi kubwa huwezi tumia.
Cpu nzuri mkuu ila nayo ni dual core thread 2, itakulimit. Hupo mbali angalau dual core yenye thread 4.