Ushauri wenu wana JamiiForums

Tukushaur nn sasa na wanawake unawaona....na tatizo lako unalijua acha undezi tongoza
 
Mimi nafikiri hali inatokea kwa watu wengi lakin hiyo ya kupenda mimama daah hapo siwezi kusema but all in tuko kwenye njia moja mfano mim nikosa hamu kabisa ya kuwa na hawa watu kwa kuwa they all cheater mbaya zaidi ni kwamba wengine huwa wanafanya kwa makusudi ili aone utafanya kweli kwa umri huo siwezi kushangaa ni heri pesa zikupe changamoto lakin sio msichana japo ana maana yake wa maisha ya baadae
 
Sasa utayajuaje mapenzi wakati huna mpenzi...au ndo mambo ya kina Alejandro
Njia salama na ya uhakika kwa madomo zege kama wewe ni PUNYETO ya kutwa Mara 3 Jaribu utarudi kushukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…