Ushauri wenu wakuu

kilicho

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
1,117
Reaction score
870
Niko kwenye mahusiano na binti mzuri sana wa sura,umbo na tabia...tatizo kubwa linalonikwaza nikuhusu "K" yake,inaharufu kali sana,sasa kama mnavyojua wakuu kwenye mahusiano "K" ndio mpango mzima....naomba ushauri kama kuna dawa anaweza kutumia ili K yake isiendelee kutoa harufu kali ,issue za usafi yuko vizuri na ni msafi kwenye K yake but sijui nikwanini inatoa harufu kali.....ushauri please
 
Jaribu kumpa mchanganyiko wa mayai viza na ndimu atie humo.

Akamulie kutwa mara tatu kwa wiki.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usipende kuzama chumvinii mzeee...!! Sema hiyo hainagaa dawaa labda umuache tuu au Uvumiliee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usipende kuzama chumvinii mzeee...!! Sema hiyo hainagaa dawaa labda umuache tuu au Uvumiliee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana ,huwa sizami chumvini
 
Jaribu kumpa mchanganyiko wa mayai viza na ndimu atie humo.

Akamulie kutwa mara tatu kwa wiki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] cjui bangi za wapi hizi
 
Kamulia ndimu au limao kwenye K,ikishindikana mwambie achepuke just once na tatizo litakiwa solved!
 
mwambie asafishe kwakutumia jik asubuhi na jioni
 
A funny thing, though not funny

After u have her treated, she dump u
 
Jaribu kumpa mchanganyiko wa mayai viza na ndimu atie humo.

Akamulie kutwa mara tatu kwa wiki.
duuh! hii dawa yako mdau mwishoo!

kweli nyani mzee kakwepa mshale mingi.. kwaiyo mzee itakuwa ushakutana na dizaini za K halufu kali na ukatoa treatment mwenyewe! salute!
 
Pole sana wewe na yeye pia nampa pole. Unampenda kweli?? Je una mpango gani naye?? Tuchukue mfano, ingelikuwa wewe ni mkristu, ukafunga ndoa katoliki bila kumuonja. Siku umemuingia ndo ukakuta hiyo harufu "kali" kama unavyosema; Hapa JF ungekuja na lugha gani??
Ushauri; Mpende tu na tena usiichukie hiyo harufu. Hakuitaka yeye wala hajui kama ana harufu kali. Piga tu mashine ukiwa umeinulia kichwa juu. Umeshasema kuwa huzami chumvini ndo bahati yako. Kama hujaoa, oa tu mkuu na wamama jinsi hiyo hutoa matoto manene kweli kweli. Hicho kitakuwa ulinzi wako kuwa hatathubutu kumpa mtu mwingine kuogopa wasimcheke,
 
Jaribu kumpa mchanganyiko wa mayai viza na ndimu atie humo.

Akamulie kutwa mara tatu kwa wiki.
Za cku mkuu umeadimika sana Jf mkuu.hii Dawa ni sooo,usijefanya wenzako akafanya mambo ya ajabu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kiongozi chukua hydrogen peroxide changanya na asali mbichi mpake huo mzigo,


Baada ya hapo utakuwa tayari kwa matumizi yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…