wewe uliekubali kuishi nae bila ndoa huku ukiyajua maadili tukuiteje?Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi.
Kwa bahati nzuri akapata mimba Na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mm sikuwa Na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana
Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenz kat yake Na mwanaume ktk cm yake
Pia niliwahi kumsikia akiongea Na hawara yake ktk simu
Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu Na kuamua kupanga sehemu ingine
Ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula nalipa kodi Na mahitaji mengine ya mtoto
Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura
Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi Na yeye huondoka Na kurudi muda anaotaka
Siku nyingine mfano Leo
analala hukohuko anarudi asubuhi
Kinachoniuma ni Mimi kumlipia kodi kumlisha Na bado dharau hiz anazoonyesha
Anasema mtoto atamgawa Na kumpa mwanaume mwingine Na Mimi sipendi mwanangu apate shida
Yeye hawez tunza mtoto maana hata familia yao ni Malaya tupu
Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto Na Mimi kuishi kwa furaha
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Labda" changubaba" ndilo litakalo mfaaa.wewe uliekubali kuishi nae bila ndoa huku ukiyajua maadili tukuiteje?
Simuonei wivu ndio maana ninamuacha afanye atakavyoEndelea kumtunza mwanao, au bado unamuonea wivu? Kama bado unampenda ukiondoa umalaya wake ishi nae tu, umalaya wao kwao labda ni sababu ya uzuri wao, acha wivu, hata wewe ni Malaya tu kwa vile umemuacha na kuchukua mwingine
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni Me au Ke?Kwa nn usifanye mpango umchukue huyo mtoto umlee wewe au mtu wa kwenu ili umwache huru bisa kusumbuana naye?