Ushauri wenu wakuu: Mchepuko anataka kuishi na mimi

Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Kwani wew unatafta nini.....huoni unaharibu future ya familia yako? Kama tamaa zikizidi siupige nakuacha ukaendelea na familia yako huoni kujiweka karibu na mchepuko ni kuhatarisha uhai wa familia yako na afya yako pia? ...kama huyo mchepuko ulikuwa naye kitambo kwanini uliamua kumwoa mtu mwingine ... eb waza maisha yako na familia yako mbeleni vuta picha ... eb kuwa gentleman usiwape michepuko nafasi kwanza wana nuksi
 
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu

The fact kwamba unauliza hili swali ina maana haupo competent kufanya hayo, usithubutu!

Angalia wanao na wanavyokuheshimu na kukuona wa maana then utapata nguvu ya kushinda Tamaa ya ngono!
 
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Acha hizo mambo ndugu yangu, Dunia hii ni ndogo mno, kwanini usimpe talaka mkeo Ili umuoe mchepuko??? Au Huyo mkeo ulishinikizwa kumuoa??
 
Mazingira ninayoishi na kazi ninayofanya yananiruhusu kutokuwa nyumbni hata kwa siku 5 narud weekend na wala wife hagombi anajua ni kazi ingawa huwa siyo mchepukaji Sana
Wewe ni mchepukaji. Kuwa mbali na familia Kwa siku 5 Kwa hasiye mchepukaji hawezi kuchepuka. Watu Wana miezi wako mbali na familia na hawachepuki wewe siku 5 tu kuwa mbali na familia unataka na kuuoa mchepuko halafu unajitetea sio mchepukaji.

Eti mkeo hagombi Kwa hiyo unamuona mjinga sio? Utakipata unachotafuta bwana Nyanda.
 
Kuwa na utaratibu huu
  • Mwambie ukweli mchepuko kuwa umeoa
  • 3/4 ya mapato yako, mpe mkeo
  • 1/4 ya mapato yako, tumia wewe na mchepuko
  • Ni vizuri zaidi kuchepuka na singo maza, au mke wa mtu ili asije kukulaumu kwa kumpotezea muda/ hawa mabinti ambao hawana watoto hawafai kuwa michepuko....wanatafuta ndoa
 
NAONA uko maabara unatengeneza bomu la atomic [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku likiripuka ndio utajua maharage ni MBOGA au TUNDA chepuka lakin isiwe permanent
Hakuna kitu sikipendi kama unafiki na uoga.

Hapo juu umeanza vizuri kwamba jamaa yetu yupo kwenye hatari na ukasema kabisa kuwa hilo ni bomu, then mwishoni unakuja tena kulegeza kamba eti “chepuka lakini sio permanently” hapa ndo umezingua sister angu jaribu kushikilia msimamo itakusaidia kuwa mtu imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo mambo ndugu yangu, Dunia hii ni ndogo mno, kwanini usimpe talaka mkeo Ili umuoe mchepuko??? Au Huyo mkeo ulishinikizwa kumuoa??
No nilichagua mwenyewe na so kwamba simpendi la hasha lkn nimeingiwa na wazo tu la kuwa na mwanmke mwingne ingawa kisiri Sana
 
Wewe ni mchepukaji. Kuwa mbali na familia Kwa siku 5 Kwa hasiye mchepukaji hawezi kuchepuka. Watu Wana miezi wako mbali na familia na hawachepuki wewe siku 5 tu kuwa mbali na familia unataka na kuuoa mchepuko halafu unajitetea sio mchepukaji.

Eti mkeo hagombi Kwa hiyo unamuona mjinga sio? Utakipata unachotafuta bwana Nyanda.
Aisee nimeadhimia kuachana na walo Hilo na mchepuko nishampa taarifa tayari nimeghairi kabisaaa yaani
 
Wakuu habari zenu?

Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri bila wife kujua.

Je, kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Atakuroga huyo Hadi akutie nuksi,

Acha kabisa mkuu
 
ishi nae tu, kwani unajua mkeo anaishi na nani wakat wew haupo..?
 
Kipimo cha maumivu tunachopimia wengine na sisi tutapimiwa hicho hicho... Your wife should be the closest person you've ever had..
 
NAONA uko maabara unatengeneza bomu la atomic [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku likiripuka ndio utajua maharage ni MBOGA au TUNDA chepuka lakin isiwe permanent
Alafu alita chukua hata mwaka kulipuka....[emoji378][emoji378]
 
Hakuna kitu sikipendi kama unafiki na uoga.

Hapo juu umeanza vizuri kwamba jamaa yetu yupo kwenye hatari na ukasema kabisa kuwa hilo ni bomu, then mwishoni unakuja tena kulegeza kamba eti “chepuka lakini sio permanently” hapa ndo umezingua sister angu jaribu kushikilia msimamo itakusaidia kuwa mtu imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alright
 
NAONA uko maabara unatengeneza bomu la atomic [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku likiripuka ndio utajua maharage ni MBOGA au TUNDA chepuka lakin isiwe permanent
Maharage mboga ya matunda🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom