Ushauri wenu wakuu: Mchepuko anataka kuishi na mimi

Ushauri wenu wakuu: Mchepuko anataka kuishi na mimi

nyanda madirisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2019
Posts
442
Reaction score
789
Wakuu habari zenu?

Mimi ni kijana mwenye 29 nimeoa. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeazimia kuishi naye kisiri bila wife kujua.

Je, kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza leta shida yayote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na nitaweka siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?

Naombeni Msada na uzoefu wenu wakuu
 
Machungu atakayopata mkeo siku akigundua,ni mara mbili ya wewe utakavyojua.

Iukize nafsi yako kabla ya ushauri kwa wengine,Unayofanya ni sahihi kwa mkeo.

Penzi kikohozi,penzi halijifichi.

Muheshimu sana aliyechagua kuwa nawe kwa kukuheshimisha kwako kama mke.

Kwa Sasa huoni umuhimu wa mke kwa kuwa uko naye,Ila kama siku utavahatika kumkosa nachoandika hapa utakijua.

Huchachelewa kurekebisha muda ni sasa.
 
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Mkuu baki njia kuu mpende mkeo na familia yako, fanya mipango thabiti kwaajili ya familia yako kwa wakati wa sasa na baadae.
 
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Kaka acha hizo huyo mchepuko ni kupiga na kusepa we unataka ukae kabsaa!! EAT AND RUN!! MPENDE MKEO
 
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeo. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeadhimia kuishi naye kisiri BILA wife kujua. Je kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza let's shida yeyote mbeleni haswa kwa wife ingawa sitamwambia na ntaweka Siri hata huyo mchepuko asijue wife Yuko wapi?? Naombeni Masada na uzoefu wenu wakuu
Kuna haja gani ya kuuficha weka hadharani ongeza mke wa pili japo kutakua na vita ndani ya miezi miwili hadi mitatu utafanya diet ua kupunguza mwili ila ukikaa sawa utaona hakuna raha dunian kama.kua na wake wawili asikwambie mtu ila mwanzon vita yake haina bunduki wala manati uwe mwanaume.kweli tena ngangar hasa tuulize yalotukuta sasa hv tunapeta
 
We jipange kupokea vita ya nafsi unaumia hujapigwa wala kuguswa ila ulikaa sawa mwanangu utakuja kuniambia wanawake ukiongeza mke hua kuna vita sana ila ukishazoea unapanga zamu saafi kabisa wala hamna kwere
 
Nina uhakika mke wako atagundua mkuu nasubiri mrejesho
Mazingira ninayoishi na kazi ninayofanya yananiruhusu kutokuwa nyumbni hata kwa siku 5 narud weekend na wala wife hagombi anajua ni kazi ingawa huwa siyo mchepukaji Sana
 
Ukiona gafla una mawazo ya kuishi na mchepuko ujue ndo usharogwa hivyo!
Usikute hapo hata akaunti haijasoma 50 m ili tayari unajiongezea majukumu kibao ya kuhudumia nyumba 2!
Usharogwa mkuu,zinduka!
Ukweli mchungu hiyo 2m haifiki wewe unaongelea 50 mkuu?? Dah napinga Chini wazo hili ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom