Kwahiyo ameshakuvutia?Kadhalika, huwa nakuwa selective katika mahusiano kwa sababu huwa sipendi mwanamke mcharuko kupita kiasi ila awe muungwana na ambaye anajua kuongea kwa ustaarabu. Ingawa huwa napata ugumu sana wakati wa kumtafuta mchumba but nikipata namba yake tu huwa hachomoi. Sijui ni kwa nini kwenye kuchati au kuongea kupitia simu niko vizuri kiasi hiki.
[emoji115]Kweli uko vizuri hata kiuandishi, na kiukweki asilimia kubwa ya wanawake tunavutiwa na wanaume wa pole
HapanaKwahiyo ameshakuvutia?
AlrightHapana
πππAcha punyeto mkuu! Hayo ni madhara ya punyeto muone doctor wa psychology
YesAlright
Huu ndio ukweli wenyewe.Acha punyeto mkuu! Hayo ni madhara ya punyeto muone doctor wa psychology