Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,940
- 23,215
Kijana usipende kuishi kwa hisia.
Utumbo? Akati unamfuata ukujua kama ana utumbo
Unakataa watoto afu ukishazeeka unaanza kutafuta huruma zao, amekuja amepanik utafikiri kuwa na mtoto ni laana,Kijana usipende kuishi kwa hisia.
Mwanamke ulilala naye, halafu unakuja kukurupuka kukimbia kivuli chako!
Ungeliomba ushauri wa kuhakiki kama huo mzigo ni wako, siyo kukanusha moja kwa moja kwamba unasingiziwa na mimba haujamjaza wewe.
Ninyi ndiyo mnaosababisha watoto wa mitaani, wakati uwezo wa kulea mnao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni nini? Wewe endelea kama kawaida. Mwache aendelee kuzurula. Mtoto akitoka atajulikana tu. Wewe mpige marufuku asije ofisini kwako
Hatuogopi Bali uhalali ndo kitu tunapendaHivi ni kwa nini huwa mnaogopa sana watoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani utafikiri umeambiwa unachinjwa??
Imebd nimshirikishe bosi wangu Jambo hili ameniahidi akija ofisini atapambana nae ....sasa cjui atafanya hivyo kweli au nae ataishia kuomba unyevu...maana nae mtataShida yako ni nini? Wewe endelea kama kawaida. Mwache aendelee kuzurula. Mtoto akitoka atajulikana tu. Wewe mpige marufuku asije ofisini kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa serious alafu mwambie "nimekuvumilia nimekuchora sana na nia yako ovu juu yangu, Mimi uwezo wa kurutubisha mayai (kuzalisha) sina, sasa hiyo. Mimba nimekupaje?? Unadhani sipendi watoto?? Napenda sana ila niliisha hangaika hadi kwenye miti shamba mwisho nikaambiwa uwezo wa kuzalisha sina, Usinitafute ubaya na kunikumbusha machungu"
Huenda...Mwanamke kufikia hatua ya kukwambia huo upuuzi ujue kakuchunguza vzr kaona wew ni zoba aliye tukuka.
Kuwa serious mwambie hivyo mkuu watu tumefanya sana hizo kazi kiasi sahizi tukiambiwa mtu anamimba hata hustuki unamwambia tu hili jibu kistaarabu