Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 832
- Thread starter
- #61
Ushauri wako mkuuu
Ushauri wako mkuuu
Mkuu hapo mke yupo lakini hana familia.Kwa namna wanavyonikazia inaonekana
Hana makuu, sema mziki uko kwa kaka zake.Mkuu hapo mke yupo lakini hana familia.
Ni kukokotana naye na kuanza maisha
Chukua banaHana makuu, sema mziki uko kwa kaka zake.
Hii ni point muhimu,kwanza mimi kwao wakishanikataa hata mimi hamu inaisha,sijui wenzetu wakojeVipi usalama wako ??
Hayo mapenzi yasikufanye kipofu, ukajisemea ati upo tayari kwa lolote ila uwe nae, aloo utakatwa mapanga na binti bado akaolewa na wamtakaye huku wewe na dhambi zako ukiteketea kwa imani yako huko kuzimuni.
Ndo ivo jiwazie kwanza wewe kabla ya mtu yeyote.Hii ni point muhimu,kwanza mimi kwao wakishanikataa hata mimi hamu inaisha,sijui wenzetu wakoje
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
PoleInawezekana, maana nimeomba kaka zake mara nyingi bado wamekaza
AhsantePole