Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.
Sijaona uhusiano wa bikira na kugombana na mpenzi wako.
Lakini ukishakuwa na miaka zaidi ya 18 wewe ni mwanamke uwe na bikira au usiwe nayo. usichana ni kutokomaa na kujitambua of which who knows labda unafit hivyo vigezo. Mimi nikiitwa msichana naona kama ni tusi na sio sifa.
pamoja na yote hongera kwa kutunza hiyo bikira yako, natumaini utaendelea kuitunza mpaka siku ya ndoa; subiri PM za kutosha humu now that they know you are a virgin na mpenzi wako mnagombana. Good luck in picking, huenda ukapata wa maana.
Ukikasirika usifiche hisia zake ....ukijificha utakuwa mtumwa wa mapenzi na hatokuheshimu
Sioni uhusiano wa bikra yako na mahusiano yako,hujatuambia huwa mnatofautiana nini na huwa unakosea nini,hebu funguka usaidiwe ushauri.Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.
mmmmmmh
we lazima utakuwa unatumia ile philosophy kill the driver save the engine
au mbuzi amehusika hapo.
Maana juzi tulikuwa na kikao kaka yangu demu wake kaolewa zenji bikra sasa tukamuuliza vipi bro wewe cyo ridhiki haiwezekani awe anashinda kwako more than week rum aolewe bikra.
Ufukunyuku bibie anti yake kamuwekea ya mbuzi.
HII NI KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.
Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.
LAKI si pesa, hasira zako zinasababishwa na lundo la ukame ulilojilimbikizia.
Hebu mpe mamboz utaona hasira zikiyeyuka
Kwanza hongera sana kwa kutunza ubikira wako maana wasichana wengi wa siku hizi wanaruhusu kuondolewa bikira zao kabla ya ndoa jambo ambalo liko kinyume na maandiko matakatifu.Pili hakikisha mtu asikuguse mpaka utakapofunga ndoa maana mwanaume yoyote atakayevumilia atapokukuta na ubikira wako atafurahi kukuvumilia hivyo una haki ya kuwaambia wasubiri maana ubikira unao.Endelea kumuomba Mungu kama kweli huyo uliye naye sasa ndiyo mume atakuonyesha wala usilazimishe mambo Mungu ndiye atakayekuletea mume bora.Akitaka kuonja kabla ya ndoa piga chini kwani atakuwa hakufai wa kufanana na wewe atakuja.
Asante sana kwa ushauri wako ntaufanyia kazi, nazidi kumwomba Mungu maana ndo nmeanza mahusiano hivyo ni mgeni kabsa kweny hii sector.
Kwanini ulianza kwa kusema you are a virgin?
unahisi wewe kua virgin ndio chanzo cha matatizo?