Ushauri wenu tafadhali wana MMU

pm ziambatane na ela ya bundle tafadhali.. vigezo na masharti kuzingatiwa

ile hela uliyosema utajilipia mahari ndio ununulie bundle mahari nitalipa mwenyewe
 
Fata moyo wako unavyokwambia!!Naelewa unataka kumridhisha mama lakini at the end of the day wewe ndio utakaeishi na huyo mwanamke na si mamaako.Na haimaanishi kwasababu ndoa za wengine hazikufanikiwa basi na yako haitofanikiwa...Tuache ukabila ndoa inadumu kutokana na mahusiano ya watu binafsi upendo unaotawala,uvumilimu,heshima,uaminifu na hekima!
 
Mmmh wanawake wa kichaga bana ata yule wifi yetu alikuwa mkarimu mpole msitaarabu wengi walimkubali baada ya kuitwa mke na ndoa kufungwa c ndo makucha yake kuonekana!!!!!!
 
Yaani nyie wote mmenyweshwa chai bila sukari...

Labda kwa vile ina tangawizi ndio maana mmeingia kingi




Lazima ilivutiwa na weupe wake. Maana watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wakikutana na wanawake weupe wanakuwa kama zezeta.


Kampeleke akikataliwa tafuta mwingine maana waafrika tunaoa kwaajili ya familia zetu!


Akili za kuambiwa pia kumbuka, aonywae mara nyingi akishupaza shingo huvunjika! Kaa chini fikiri na uchukue hatua.

Mama yako kukupa mifano 15, humu jf kuna nyuzi kibao za kuhusu hao watu, sasa nini zaidi unataka mkuu?

Maskini kumbe amejadiliwa huko hadi aibu mwe mwe mweeeeeee ukwama hebu mtoe ktk aibu hii let her go
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie wote mmenyweshwa chai bila sukari...

Labda kwa vile ina tangawizi ndio maana mmeingia kingi

mi nimeandika nikijua ni ya kutunga, nimeona alivyofukunyua Tyta, ila mbona mengi tu humu ni ya kutunga maidia, tunatoa ushauri tukiamini kuna watakaonufaika hata kama story ni ya kufikirika
 
Last edited by a moderator:
jiulize,,, huyo mke unamuolea nani? wazazi ni lazima tuwape heshima zao,,, mke ni wa kwako,,, msimamo wako ndo utakuvusha,,..changanya akili....
 
wachaga wanasifika sana kwa ndoano.. lisemwalo lipo. tafakari
 
Mimi nimchaga ,Mume Wangu aliachishwa kaz mwezi mmoja baada ya ndoa, na Mume Wangu si mchaga, tulioshi ndani ya miaka mitatu bila kazi huwezi amin muda wote nilikuwa nafanya biashara ndogondogo ndio tunakula, tulifukuzwa kwenye nyumba tukalala nje wiki mbili sikuwa na pakuomba msaada coz wazazi Wangu hawakumpanda mwanaume, now tuna miaka 11 kwenye ndoa na tuna nyumba, gar .mimi mbona sikumuacha Mume wangu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…