Mr SGR
Member
- Apr 8, 2021
- 66
- 41
Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa.
Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara?
Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa.
Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!