Ushauri wenu niko njia panda

jogijo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
262
Reaction score
509
wapendwa mlio na uzoefu wa kazi ya ualimu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2016, lakini toka mwaka huo nimekua nikifanya mambo yangu (teaching private schools) toka mwaka huo hadi sasa ambapo nimejipatia kwa sehem ndogo mafanikio kidogo.
tatizo langu ni kuwa serikali imenipanga government schools, (niseme tu niliomba kutokana na mashinikizo ya wife, na nilijua sitochukuliwa na serikali kulingana na waombaji wengi) sasa hapa niko dilemma, niache private ambako nalipwa poa almost mara mbili ya mshahara wa serikalai? au nielende serikalini. japo nina malengo ya kuja kuacha baadae au kubadili career yangu.
kwa wale wazoefu please naombeni msaada kidogo hapo.
nashukuru.
 
Baki hapo hapo ..baadae utakuja regret maamuzi yako maana nafsi haijalizia kwenda kufundisha public school ukizingatia pia na malengo uliyojiwekea hapo baadae private hautokuwa limited sana.

Baki hapo hapo usije singizia shetani alikupitia hapo baadae kumbe ni maamuzi yako.
 
Tulia hpo hpo mzee, ukijipindua ukaenda government unaukaribisha umasikini, ulifanya kosa kubwa sana kuomba.
 
We jamaa unatuchanganya sasa hivi kuna uzi umeutoa ukidai ni rafiki yako na sasa hivi nashangaa unadai ni wewe ten. Acha kujichanganya
 
mwambie wife wako akupe ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…