Mr big ben
Member
- May 18, 2013
- 16
- 1
Maombi ndo kila kitu!!!!! Sali sana ikiwezekana funga juu ya hilo kama ni Mkristo!!!!!!!1
kufunga=kuacha pu...???? hapo cjakubl wakat kuna watmish kbao n member
Nimekuwa nikifanya wa kupiga p.... Kwa muda mrefu nimejitahidi kujizuia lakin nashindwa wadau nitumie njia gan ili niepukane na tatizo hili, na je nikiendelea kuna madhara gani nisaidien japo kuna watakaonijibu vibaya.

ulivoandika pu.... nimeshindwa kuelewa ni punyeto ama? kama ni punyeto mgoja niseme yafuatayo...
1. tatizo lako sio sio physical ila ni psychological, unahitaji kupunguza kufikiria ngono muda mwingi, au kuangalia picha zinazochochea ashki.
2. tafuta mbadala, usiache ghafla. soma vitabu, fanya mazoezi, jiweke bize ili usipate muda wa kufikiria puli.
3. tafuta mpenzi ambae utafanya nae, itakusaidia sana kupunguza kupiga hii kitu.
4. punguza kukaa doro, au kukaa na marafiki wenye mawazo au mtazamo kama wako
madhara ya punyeto utayaona baadae, sasa hivi utaona raha ila utaona
Asante kwa ushauri wako ndg.

Ukiendelea utapoteza uwezo wa kujamiana...kifanyio chako kitatepeta na kuwa kama dekio.
Hakikisha unapunguza muda wa kuwa mwenyewe, epuka vishawishi haswa picha za uchi au ngono, fanya mazoezi, soma maandiko ya Mungu.
We endelea tu maana kama umeshindwa kujikataza na kujionea huruma mwenyewe sisi tutawezaje? Endelea kubomoa mwili wako mwenyewe kwa raha zako.