Miss Mbunda
Member
- Jan 22, 2013
- 36
- 14
mimi ni msichana mwenye miaka 25 ambaye nina mpenzi tunayependana sana ila tatizo ni kwamba,tukipiga mechi huwa napata maumivu makali sn,na tatizo hili hutokea baada ya mechi ya pili kuanza na kuendelea,ila mechi ya kwanza huwa nainjoy sana. Sio kwamba huwa siandaliwi la hasha!mpenzi wangu huwa anajitaidi sana kufanya maandalizi ya hapa na pale. Wapendwa naombeni ushauri wenu,je yanipasa kwenda hospital maana nahic kama ni ugonjwa!na tatizo hili ni la mda mrefu sana!