Asante sanaMh 6L kupata hp brand new mmh sijui aisee may be kwa specification za intel pentium na ram ya kawaida tuh but kama ni core i3,5 or 7 ni kuanzia laki 7 hivi
tafuta laptop yenye processor za ULV zinazoishiwa na U mbele hasa i3 za kuanzia 4th generation kupanda kama
i3-4010u
i3-5010u
i3-6100u
bei zake madukani mpya ni around 700,000 ila ukibembeleza kidogo zinashuka laki 6 na kitu
Mkuu Chief-Mkwawa mimi nataka kununua laptop kwa ajili ya kuflash simu nichukue yenye specs zipi na bei inaendaje? N.B, Nataka kutumia laptop badala ya Destop sababu nafanya hii kazi popote pale bila kujali eneo
Asante sana Chief Mkwawatafuta laptop yenye processor za ULV zinazoishiwa na U mbele hasa i3 za kuanzia 4th generation kupanda kama
i3-4010u
i3-5010u
i3-6100u
bei zake madukani mpya ni around 700,000 ila ukibembeleza kidogo zinashuka laki 6 na kitu
Hongera! hp ndio unapata hata l5 na nusu. taft yny procsa >=1.5ghz, ram >=2gb and hdd >=320gb, nijulishe uko mkoa gani?
ni vyema ikawa na core nyingi kadri utakavyoweza na kipato chako, iwe na ssd kwa ajili ya kumove mafile haraka na pia iwe na usb 3.0 port na kuendelea sababu simu mpya tayari zinakuja na usb 3.0. kasi ya hii usb 3 utaflash simu ndani ya dakika tu ukijumlisha na hio ssd.
budget hapo kwa uchache andaa 600,000-700,000 kwa core i3 laptop mpya ya watts 35 generation ya nne kupanda juu. na kama budget ipo unaweza panda hadi 1.5m kwenye i7 quadcore yenye thread nane.
kama budget ndogo zipo i3 used around 400,000-450,000 ambazo pia ni watts 35, sema ukishanunua itabidi ueke mwenyewe ssd,