Sasa me nimefanyajeAiseee wewe ni muuaji unayechipukia au mkomavu kabisa,
Umemsukuma mtoto wa wenyewe nje ya gari iliyokua speed 40, kadondokea kwenye Lami kapiga yowe moja ukamuacha hapo agongwe na magari mengine ili ionekane kama ni ajali,
Una roho chafu sana, akifa huyo mwanamke kivuli chake kitakutesa sana.
ππ jamani kasema ame changanyikiwaSio Ushauli ni Ushauri
Sio Kuluka -Kuruka
Matumizi ya R na L nadhani tungeanzia hapo lakini isiwe kesi nisije shushiwa matusi bureπ π , ngoja tusubiri wakupe huo Ushauli
SawaJifunze kwanza kuandika. KULUKA? USHAULI ? Una elimu gani? Wewe ni mjinga.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sawa,kwanza yupo kimaslahi Sana Ila kiubinadamu ungesimama uangalie kilichotokea,umsaidie then Ndio ungepiga chini.Najua kaumia ila kuanzia leo mahusiano yamekufa siwez kudat namtu kama huyo
mkuu umefanya kosa kubwa ulipomwacha kwenye lami, huyo mwanamke hafai kabisa, ukipita huo msala achana naye kabisa,yeye bado ana mawasiliano na jamaa yake wa zamani halafu yeye ndo anakushauri uuze gari yako? Una uhakika gani anakutapeli ili akipata hela akuache ?.Nilikuwa mitungi
Maybe mimi naona tofauti. Personally sidhani kama una kosa bwana baharia. Coz we mwenyewe umesema tangu mmetoka out alikua ameshaanza visa kibao tu. Na pia hata source ya huzuni yake ni mwanaume mwingine n.k. huyo manzi hana kichaa. Sasa anatishia kuruka kwa minajili gani? Maana kuruka nje ya gari linalotembea sio kitu cha utani. Ye aliamua kuruka kwa mambo yake mwenyewe. Bora umemtema. Maana mtu mzima hatishii nyau, anakaa chini mnayajenga. Temana nae. FakenHabar wakuu, naombeni ushauli wakubwa
nimechananykiwa sana, mimi nina mwanamke wangu mchaga, najua ananipenda sana na huwa ananisaidiaga mambo mbalimbali madogo madogo
Sasa tangu wiki iliyopita analalamika kwamba anadaiwa mil.2.5 yaan million mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi, sasa naona wiki yote hii hana raha.
namimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana
kila ck naona hana raha, mpaka leo tumetoka tuneenda sehem tumekula tumekunywa, mara kaanza nisiongee na mtu mara hivi vituko kibao
tukapanda gari tukaondoka njian vituko mara hiv kugombana akafikia kauli mimi naluka, me nikasema kama mwanamke kweli ruka hapo nipo speed 40 ghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika hom, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 uck ndo imetokea tena kaluka kwenye lami
Maswali :
Najiuliza huyu mwanamke Anastrees zake za maden anataka kunipa kesi ya mauwaji au ndo wivu ?
Hata kama wivu mbona tunagombanaga sana haijawah toke hii
Ushauli wenu ndugu zangu
πππNilikuwa mitungi
Maybe mimi naona tofauti. Personally sidhani kama una kosa bwana baharia. Coz we mwenyewe umesema tangu mmetoka out alikua ameshaanza visa kibao tu. Na pia hata source ya huzuni yake ni mwanaume mwingine n.k. huyo manzi hana kichaa. Sasa anatishia kuruka kwa minajili gani? Maana kuruka nje ya gari linalotembea sio kitu cha utani. Ye aliamua kuruka kwa mambo yake mwenyewe. Bora umemtema. Maana mtu mzima hatishii nyau, anakaa chini mnayajenga. Temana nae. Faken
By the way jus know gari ulikua unaenda kueka bondi kwa jamaa yake and yeye ndo angelinunua af baadae ungechomwa moto kama yule jamaa wa dar
Sio "analudisha"Sio Ushauli ni Ushauri
Sio Kuluka -Kuruka
Matumizi ya R na L nadhani tungeanzia hapo lakini isiwe kesi nisije shushiwa matusi bure[emoji28][emoji28] , ngoja tusubiri wakupe huo Ushauli
Ulitakiwa umzabe kofi moja la maanaππanadaiwa mil.2.5 yaan million mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi,
Wewe pia ni tatizo, ulikubalije kitu ambacho huwezi kukifanya. Hapo wewe ni wakupigwa makofinamimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana
ππππghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika hom, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 uck ndo imetokea tena kaluka kwenye lami
π§π§Sio "analudisha"
Ni "Anarudisha" [emoji23][emoji23]