Ushauri wenu kwa huu mtihani

Kwani wewe maoni yako ni yapi kwanza.....!?!?!?????.
 
Mchaga???
 
Kwakweli all I can say ni kwamba you are in for it.
Maana kama kapata janga ni ngumu kumweleza mtu hii story akaamini ukizingatia hata hukusimama.
Pole na usisahau kutupa mrejesho
 
Una kesi ya kujibu, ulimsukuma wewe nje ili afe hiyo ni "attempted murder" toa ushahidi kwamba hukumsukuma wewe........
 
Usisahau na Wapare
Kila mtu yupo kimaslahii ila tunatofautiana kwenye malengoo

1. Huenda mleta mada maslahi yako ni kumtumia akishajichokea un mdampo
2. Huenda bibie ana maslahi hatukataii ila ukila cha mtu na chako lazima kiliwe one day
3. Labda maisha mnayoishi mnaigiza na sio reality na ameshakulandanisha na mpenzi wake wa zamani na kujifunza jambo

anyway leo ni siku ya sabato - sali kwa imani yakoo na fanya maamuzi ukiwa mtulivu
 
Aiseee wewe ni muuaji unayechipukia au mkomavu kabisa,
Umemsukuma mtoto wa wenyewe nje ya gari iliyokua speed 40, kadondokea kwenye Lami kapiga yowe moja ukamuacha hapo agongwe na magari mengine ili ionekane kama ni ajali,

Una roho chafu sana, akifa huyo mwanamke kivuli chake kitakutesa sana.
 
Andika "USHAURI" na sio "USHAULI" ukibadilisha hapo nitakushauri
 

Kimbia. Huyo siyo kabisa na umeanza kuona sababu ya watangulizi wako kukimbia lindo.
 
Sio Ushauli ni Ushauri
Sio Kuluka -Kuruka

Matumizi ya R na L nadhani tungeanzia hapo lakini isiwe kesi nisije shushiwa matusi bure
, ngoja tusubiri wakupe huo Ushauli
We Acha tuuh mpaka sasa sijui kitu na simu haipatikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…