Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

Kama wewe uliye kwenye picha ya ID yako basi nami nasapoti kabisa huyo mkubwa wako aendelee kukuchukia tu maana huna na hutakutwa na hekima kujenga imani kwa Kaka yako akijishusha.
 
Mkuu kataa kubali kuna shida kwenye familia yenu. Kwa maelezo hayo nimebold hapo, wote mna matatizo, mama yenu ana kazi sana! Pole yake asee
 

Duh! Poleni sana.

Kiini cha Kosa hapo ni LA wazazi wenu. Kumbuka ya kwamba "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

Wazazi wako wamelikoroga KWA hiyo lazima alinywe, hususani huyo mama yako aliyebaki hai.

Pili, sijajua kama wewe ni ME au KE??jinsia yako.

KWA nini mtoto wa umri wa miaka 32 awe bado anaishi nyumbani KWA wazazi?? Haoni aibu??
Hakika, wazazi wako wamefanya mistakes mbaya sana,

Kitu cha msingi
1.Jitahidi kufanya mpango wa kuhama kutoka hapo kwenye nyumba ya familia yenu, ukajitegemee
Ndugu yako naye pia ahame, mshauri mama yenu amhamishe huyo ndugu yenu.
2.Watu WA namna hii huwa wanapenda sana kugombea Urithi wa mali pale wazazi wanapofariki dunia.Chukueni tahadhari kubwa sana ili asije akawahi kuwaueni ili abaki mrithi peke yake,
Mtahadharisheni pia mama yenu kuhusu hili, atauawa KWA kuchelewesha urithi WA Mali.
Mifano hai ktk hili IPO mingi sana tayari ilishatokea

3.Mshaurini mama yenu aandike WOSIA WA kugawa Mali ktk kiwango sawa kwenu, japokuwa siyo jambo jema sana kwake lakini itasaidia kuwapunguzieni migogoro nyinyi watoto endapo kama yeye Mungu atamchukua.
 
Umejuaje kama jogoo hawiki ? Umeshamjaribu au ni katika ile chuki kati yenu ?
 
mimi ni me mkuu
 
Umejuaje kama jogoo hawiki ? Umeshamjaribu au ni katika ile chuki kati yenu ?
wazazi pia wamemuangaikia sana dawa familia inajua anapenda sana wanawake wakati hamna kitu na kazi hataki kufanya sasa anataka nini ? hana faida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…