Ushauri wenu juu ya hii presha yangu

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,113
2,000
Nimetoka hospital tofaut kuchek BP hospital yakwanza bp 138/64 PR 76 hospital ya pili BP 144/67 PR 67
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,427
2,000
Unayo presha ya kupanda kula punje 2 za kitunguu saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu tafuna kisha meza na maji ya uvuguvugu kisha kaa kwamuda wa saabila ya kula kitu baada ya saakumalizika waweza kula chakula na wakati wa mchana fanya tena hivyo na wakati wausiku tumia tena hivyo unaweza pi kukamulia maji hayo ya uvuguvugu kipande cha limao ili dawa iwe ya nguvu zaidi tumia kwamuda wa siku 7 kisha kapime ikiwa bado hujapona nitafute mimi nipate kukupa dawa ya kukuponyesha kabisa maradhi yako uguwa pole.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom