Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Kila mtu anajua mchezo uliofanyika watu kupewa kampuni ya mabasi yaendayo kasi.
Hatutaki kusema mengi kwa kuwa ni maamuzi niliyofikiri serikali baada ya kukutana na wadau wataitisha upya zoezi hili la kupata tenda mpya ya DART.
Mkurugenzi amefukuzwa na moja ya malalamiko ni kushindwa kusimamia upatikanaji wa mhusika kwenye tenda ilotangazwa.
Sio hayo niwajulishe tu huyu Mkurugenzi aliingizwa chaka na waliopata tenda na kudai wenye mabasi yapitiayo njia za mwendo kasi wamelipwa.
Kiukweli waliitwa watu wachache hawakuzidi 17 wakasaini wamepokea mil 90 kiukweli wapo wengi hawajalipwa na ndio maana unawaona kwenye route cha ajabu wapo waliokuwepo kwenye list ya malipo bado wana mabasi route hizo.
Mh Waziri Mkuu tusikimbilie hilo kama sheria ilipindishwa wekeni sawa wenye uwezo waje.
Zipo kampuni za nje zina uwezo ziliondolewa.