Ushauri wangu kwa watumishi wa umma

Ushauri wangu kwa watumishi wa umma

ze big

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
382
Reaction score
351
Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo mema ya viongozi wetu. Ni imani yangu zamu yenu ninyi watumishi wa umma itakuja ila subira ni ngumu hasa kipind8 ambacho haujui utasubiri kwa muda gani. Jitahidini kufanya kazi kwa bidiii tena kwa moyo mkuu tuachane na malalamiko ya wapiga dili na walio zoea vya bure wachache. Pamoja nchi yetu itaenda mbele. Asanteni
 
Pamoja mkuu, tuijenge nchi yetu
 
Kweli kabsa subra yavuta heri, tena nafuu mbapata japo kdogo, kuna WATU wao ajira imekua ndoto kwao, nawengine walisitishiwa hvyo hao ndo wanakilio kikubwa! Kila kitu kinapta na maisha yatakua bora hapo bdae!
 
Umeshasaini posho leo, unakuja kubwatuka hapa. Ngoja ziishe hizo.
Wanaolalamika sio watumishi pekee, uliza wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanasiasa. Ndio utajua utamu wa elimu bure unavyotusomesha namba.
Bora elimu bure kwani nyinyi watumishi wa uma mlikuwa na viburi kwa kutumia kodi zetu,mlijiita pedeshee kwa kodi za Mama ntilie aliyeshindwa kumsomesha mtoto wake,pesa yake ya kodi mlijiita Papa
 
Kakojoe na uchambe ukitoka huko ukung'ute miguu ulale, subira hiyo subira gani isiyokua na Mwisho? Mnatugeuza Ma toi eeh, bora mkae kimya mtuache tulalamike maana tunatimiza moja ya Pillar of Democracy that is Freedom of speech ....
 
Taarifa kwa wapiga dili na janja janja nyingi, zama zenu zilikwishapita na awamu ya Nne, niwakumbushe hii ni Awamu ya Tano.Na ndio kwanza mwaka umeisha, mpaka miaka tisa ijayo, namba zitasomeka kwa lugha zote.
 
Mbona wapiga dili walikuwepo lakini watumishi walikuwa wanapandishiwa mishahara
Ila ilibido serikali okope kuwalipa watumishi mishahara ndugu. Kwa hali iliyokuepo kipindi cha nyuma inatulazimu kuumia ili kuwa kwenye hali nzuri.Ni kama kujaribu kuvaaa kiatu cha ngozi kilicho loa na kukauka maumivu kidogo yapo
 
Kakojoe na uchambe ukitoka huko ukung'ute miguu ulale, subira hiyo subira gani isiyokua na Mwisho? Mnatugeuza Ma toi eeh, bora mkae kimya mtuache tulalamike maana tunatimiza moja ya Pillar of Democracy that is Freedom of speech ....
Aisee
 
Umeshasaini posho leo, unakuja kubwatuka hapa. Ngoja ziishe hizo.
Wanaolalamika sio watumishi pekee, uliza wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanasiasa. Ndio utajua utamu wa elimu bure unavyotusomesha namba.
Mmi nafanya biashara halali nimeianza kuanzia mwaka 2000 na nimejizoesha kuishi maisha ya halali tu nalipa kodi na ninafuata sheria japo kuna kipindi wenzangu waliniona mjinga ika sasa ndio wanaisoma namba na mbaya zaidi wakiwa umri umeenda sasa
 
Back
Top Bottom