Afadhali wewe umefanya uungwana umemkaribisha huko Congo maana huku tuko kwenye mchakato Wa kumtoa mwezi Wa kumi tulikuwa tunawaza akitoka tutamweka wapi maana chato hapatakalikaUshauri tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa umemdanganya,sema tu kuitoa CCM 2025,ila leo misheni zimefeli ,LijuakaliAfadhali wewe umefanya uungwana umemkaribisha huko Congo maana huku tuko kwenye mchakato Wa kumtoa mwezi Wa kumi tulikuwa tunawaza akitoka tutamweka wapi maana chato hapatakalika
Nakuambia tena mwaka huu kichekesho cha mwisho kusikia toka chato utasikia MTU anabweka eti mapapai nayo yamepiga kura! Haya mabox ya kupigia kura ni fake yametumwa na mabeberuHapa umemdanganya,sema tu kuitoa CCM 2025,ila leo misheni zimefeli ,Lijuakali
Naunga mkono hojaWATANZANIA mimi nimemkubali sana Rais Magufuli, muacheni madaraka mpaka kifo chake kwa maana naamini bila Magufuli nyie msingekuwa chochote katika uso wa dunia.
shukran sana papaa KIN NIGGA.
tunaomba sana ubaelezee batu ba congo tunawapenda sana sisi watanzania. tuko pamoya papaa.
VIVA MAGUFULI.
VIVA TANZANIA.
VIVA DRC.
Sent using Jamii Forums mobile app