Ushauri wangu kwa Watanzania

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,067
2,000
Hope Tanzania iko salama na corona. Juhudi za rais wenu kupambana na corona kuna nchi zinamkubali ila hawasemi kuficha udhaifu wao.

Watanzania hongereni kwa kumpata Rais mchapaka kazi tena mwenye kumjua Mungu wa kweli.

Kazi yake imewafanya wapinzani kukosa sera kabisa kwenye jamii na kama nawaona vile wamekufa kabisa licha ya kujifariji kwenye vyombo vya habari.

WATANZANIA mimi nimemkubali sana Rais wenu na nilitaka kuwakumbusha kuwa kwa kazi anayoifanya Rais muacheni madaraka mpaka kifo chake kwa maana naamini bila magufuli nyie msingekuwa chochote katika uso wa dunia.

Epukeni kupoteza pesa nyingi za uchaguzi wakati hamna sababu ya kufanya uchaguzi tena, maana mlichokuwa mnakitafuta tayari Mungu kawapa, sijuwi mnataka nini tena.

Na wimbo huu imbeni kwenye maandamano; ”MAGUFULU TAWALA MILELE DAIMA TUKO NYUMA YAKO”.

NB: Rais Magufuli karibu Congo tunakuhitaji hata kwa miaka miwili tu inatosha kusafisha nchi yetu, maana Watanzania wamekuwa wagumu kuelewa maendeleo yako.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,733
2,000
Aiseee ngoja kwanza watu wavuke mto,

kIongOzI Wa BaaDae
 

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,326
2,000
Ushauri tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Afadhali wewe umefanya uungwana umemkaribisha huko Congo maana huku tuko kwenye mchakato Wa kumtoa mwezi Wa kumi tulikuwa tunawaza akitoka tutamweka wapi maana chato hapatakalika
 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,423
2,000
Afadhali wewe umefanya uungwana umemkaribisha huko Congo maana huku tuko kwenye mchakato Wa kumtoa mwezi Wa kumi tulikuwa tunawaza akitoka tutamweka wapi maana chato hapatakalika
Hapa umemdanganya,sema tu kuitoa CCM 2025,ila leo misheni zimefeli ,Lijuakali
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
5,110
2,000
Nenda kapokee buku saba zako, mtu miaka mitano kashindwa kuongeza mishahara,kuajira ,kulipa wastaafu,kutoa mikopo elimu ya juu,kaua mzunguko wa fedha,biashara,mahusiano ya kimataifa,Hana vision Wala mission ,anaongozwa na jazba badala ya hekima na busara.Mtu gani kila kitu Anajua.
 
Top Bottom